Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe.
Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi vijana wakavamia ubalozi wa Marekani huko Tehran, wakaudhibiti, na kuwakamata mateka wa kimarekani wafanyakazi wa ubalozi kwa miezi mingi sana.
Katika hali ya kishujaa, aliyekuwa kiongozi mpya wa Taifa hilo Ayatollah Khomeini aliwakingia kifua wanafunzi hao na akawalinda tofauti na baadhi ua viongozi wa Iran waliokuwa wanataka wapelekwe askari polisi wawafurumushe wanafunzi hao.
Katika kutapatapa, maofisa wa ubalozi wa marekani wakaanza kuharibu nyaraka kwa kuzichanachana ili kupoteza ushahidi wa operation za kijasusi zinazoendeshwa na ubalozi huo.
Hata hivyo cha kushangaza Wanafunzi hao wa chuo kikuu cha Irani waliokota vipiece vya karatasi zote zilizochanwa na kuvipeleka kwa watoto wadogo wanafunzi wa shule za msingi ili wapange kipiece kimpja baada ya kingine kama unavyoona michezo ya watoto ya kupanga puzzles. Watoto wale walifanya maajabu, waliweza kuviunganisha vile vipiece mpaka document kamili zenye taarifa nyeti kutengenezeka.
Miongoni mwa taarifa nyeti ilikuwa ni orodha ya mashushushu wote wa CIA wa ukanda huo hadi far east kama China etc.
Wairan wakachapisha orodha ya mashushushu hao, Taarifa hii ilipokelewa na mataifa mengi huko ASIA na kujikuta yanawatambua mashushushu wa CIA wanaooperate katika nchi zao. Hii ilisaidia nchi hizo kuanza kudeal na hao operatives wa CIA kimyakimya. Nchi mojawapo iliyonufaika na kitendo cha Iran ni China. Kutokana na Taarifa kutoka Iran, Cjina iliweza kuwang'amua mashushushu wa CIA nchini mwake na kudeal nao perpendicular. Ndiyo maana kuanzia mwaka 1980 hadi 1990's Intekijensia ya Marekani ilipwaya sana huko China, hii ilitoa room kwa China kukua sana kiuchumi na kijeshi bila jicho kubwa kutoka marekani, au bila marekani kuelewa kwa kina kinachoendelea China.
Sasa Iran imesema imekamata nyaraka muhimu za mpango wa Nyuklia wa Israel, na Imesema ina majina ya mashushushu wa Mossad. Je Iran itarudia mchezo uleule wa 1980?. Ngoja tuone!