Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Binti kiziwi you nailed it. Thank you 🙏🙏
 
Pole kwa kupitia njia ngumu,,,,hongera sana kwa waliotoa michango yao Hadi hapo ulipofikia,,,na hongera sana kwa kuweza kujitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza san kwa kweli lkn nashaur usije ukawa unatetea vibaka, wauaji na wezi ilimladi tu washinde kesi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha haha mtoa mada mbona anajua kuwa wewe ni Mke wa mtu
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu. Ndugu mtoa mada usisikilize maneno ya hawa maadui wa maendeleo yetu.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Kama Akwilina (mungu amlaze panapostahili)
Mwombee tu kwa M/Mungu amlaze mahali pema peponi. Btw maamuzi bado ni ya Mungu.

Wanaotoa kauli kama yako huwa nawaona kama katili fulani hivi, wasiokuwa na upendo.
Sorry!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…