Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Jf kuna watu wema sana. Yaani Jf is more than a family. Unaweza tengeneza marafiki zaidi hata ya sehemu nyinginezo.

Kwa yoyote aliyegusa maisha yangu kwa namna moja au nyingine. M.Mungu awabariki sana.

Mbarikiwe Mliompigania mtoa mada Mungu awabariki.
 
Mh Mwanasheria unisamehe sijaweza kumaliza kusoma bandiko lako lote kutokana na ni usiku usingizi umeshachukua nafasi yake ila nikupongeze kwa kutambua umuhimu wa kusaidia watu kama wewe ulivyosaidiwa.

Hongera sana

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
You are the man bro. i will never forget you, nakushukuru sanaa sanaa, msaada wako wa mawazo na namna ulivyokua ukinipa matumaini vilikua vinatosha sanaa, nisingeweza kufika hapa bila wewe, kazi uliyoifanya ilikua ni kubwa sanaaa sanaa hata kuwaaminisha watu tu kua nilikua nasema ukweli na sidanganyi vile vilitosha sanaa, Mwenyezi Mungu akubariki sanaa mkuu sanaa sanaaa, tutafanya mengi pamoja siku za mbeleni.
Amen, japo umeshukuru kuzidi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf kuna watu wema sana. Yaani Jf is more than a family. Unaweza tengeneza marafiki zaidi hata ya sehemu nyinginezo.

Kwa yoyote aliyegusa maisha yangu kwa namna moja au nyingine. M.Mungu awabariki sana.

Mbarikiwe Mliompigania mtoa mada Mungu awabariki.
Hornet ahsante sanaa kwa niaba yao.🙏
 
Mh Mwanasheria unisamehe sijaweza kumaliza kusoma bandiko lako lote kutokana na ni usiku usingizi umeshachukua nafasi yake ila nikupongeze kwa kutambua umuhimu wa kusaidia watu kama wewe ulivyosaidiwa.

Hongera sana

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
hahahahahh sawa, shukrani sana.
 
Msomi Mungu akusaidie kwenye mapambano ya tasnia. Hakika Mungu hashindwi jambo, amekusaidia kupitia watu usiowajua.

Nikiwa mmojawapo wa waliopita hapo Law School naufahamu mziki wake....nakupa hongera kwa kupita first seating.....

Ni takribani four years now...but bado ninaikumbuka ile furaha ya kupita first seating...
 
Maxence Melo hata sijui aliwaza nini. JF imekuwa msaada mkubwa kwenye maisha ya members karibu wote humu. Kuna wanaofanya biashara na jf, kuna wanaopata msaada wa mawazo humu jf. Ila naamini kitu kimoja kinawezekana kabisa, KAMA MTU HUWEZI KUTOA MSAADA WA HALI NA MALI, TOA KIMOJAWAPO HALI, AU MALI. Sio vizuri kumpa mtu matumaini yasiyo ya ukweli inafika sehemu mtu badala ya kutatua tatizo anahisi kuongeza tatizo. Fikiria walioenda kwa huyu mwanasheria wetu ili tu kumchora, asingepata msaada alioupata baadaye uwezekano wa kuwaza kujidhuru ungekuwa mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom