Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Pongezi sana ndo maisha yalivyo, lazima uandike history ya maisha ndo hiyo sasa

wengine tusha pitia changamoto ambazo unaweza kumshika mtu uchawi ila unakaza moyo maisha yanaenda
Kabisa mkuu.
 
Kuna wengi humu Jf wamegeuza ni genge la mzaha na kauli chafu, lakini kama mtoa mada alivyoeleza hili ni eneo muhimu sana linalokutanisha watu wa kada mbalimbali na wenye potentials kadha wa kadha, ni namna gani unaitumia Jf hilo ni jambo binafsi.

Mkuu nikupongeze sana kwa kutowaangusha waliojitoa kukusaidia, lakini niwapongeze zaidi waliojitoa kwa namna tofauti kukufanikisha, hakika Mungu akubariki na awabariki wao pia.

Nimeguswa kuona tayari umeanza kulipa fadhila kwa wengine wenye uhitaji,hii ndiyo maana halisi ya utu na maelekezo ya Mungu wetu kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kitu nikakwambia uwezo amini, kuna kipindi nilikuwa nafatilia mambo furani MlimaniCity nashukua gari Simu 2000 nakatiza Law School kwa mguu kuelekeza Mcity. Kuna siku nilivyokuwa napita kama nilikumbuka uzi wako nikavuta kama Imagination pale nje kwamba jamaa alikuwa anakaa wapi hapa kuangalia geti.
Hahahaha pale nje kulikuaga na vibanda vya wazi vya mama ntilie na maduka yale, nasimama pale nashangaa tu.
 
Kuna wengi humu Jf wamegeuza ni genge la mzaha na kauli chafu, lakini kama mtoa mada alivyoeleza hili ni eneo muhimu sana linalokutanisha watu wa kada mbalimbali na wenye potentials kadha wa kadha, ni namna gani unaitumia Jf hilo ni jambo binafsi...
Mkuu shukrani sana kwa maneno yako haya ya kipekee sanaa.
 
Ubarikwe sana kwa kurudisha fadhila humu jukwaani. Ila No matter what ..Hata kama jf kuna watu wana mizaha na masikhara, jamii forum ni mtandao naouheshimu sana Tanzania Hii.

Watu humu wapo wanaofariji na kutoa ushauri mzuri wa kutujenga kama vijana na rika zote kwa kweli.

Wengine ila wachache wenye mihemko ni kutukana na maneno machafu lakini hawajui jf ni sehemu ya madini muhimu sana .LONG LIVE JAMIIFORUM.

MÊmENtO HoMO
 
Ubarikwe sana kwa kurudisha fadhila humu jukwaani.
Ila No matter what ..Hata kama jf kuna watu wana mizaha na masikhara, jamii forum ni mtandao naouheshimu sana Tanzania Hii. Watu humu wapo wanaofariji na kutoa ushauri mzuri wa kutujenga kama vijana na rika zote kwa kweli.
Wengine ila wachache wenye mihemko ni kutukana na maneno machafu lakini hawajui jf ni sehemu ya madini muhimu sana .LONG LIVE JAMIIFORUM.

MÊmENtO HoMO
Ndio sure mkuu, long live jf.
 
aisee wewe ni hustler, fighter na kila kitu, safi, nashukuru pia kua mmoja wa watu niliofanikisha kiasi kufikia hapo 🤣🤣🤣 why haujanitaja mdogo angu. Endelea kupambana mwanangu, kaza mno ile kinoma noma🙌
Hahahahaha braza kubwa la maadui kuna siku ntakuanzishia uzi wako hahaha shukrani sana.
 
Back
Top Bottom