Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Mkuu hukuendaga kwenye ile kampuni/taasisi ya kahawa kule moshi??..
Hahahaha mkuu sikwenda kokote mkuu, nilipewa ahadi nyingi, kuna jamaa mmoja aliniambia niende nikamjengee msingi wa nyumba yake yote atanipa ada nzima na huyo bwana alikua yuko songea mimi niko dar.

Mungu ni mkuu, tupo ndugu yangu, lakini tunajifunza kila siku.
 
Safi mkuu mimi nilitaka nijue kwamba ulichomoa au bado kina chuwa wameshikilia kiuno ila nimeona ulitoka first seating hongera na Mungu akutangulie katika mapambano ya maisha
Nashukuru mkuu, nilifungua email yangu nikakuta kuna tag ya post yako na ndio ukanifanya nilete mrejesho leo, shukrani kwa comment yako ile.
 
Mkuu hongera sana japo sikufanya ilivyotakiwa but ulinishirikisha hatua zote

Sent using Jamii Forums mobile app
You are the man bro. i will never forget you, nakushukuru sanaa sanaa, msaada wako wa mawazo na namna ulivyokua ukinipa matumaini vilikua vinatosha sanaa, nisingeweza kufika hapa bila wewe,

kazi uliyoifanya ilikua ni kubwa sana sana hata kuwaaminisha watu tu kuwa nilikua nasema ukweli na sidanganyi vile vilitosha sana, Mwenyezi Mungu akubariki sanaa mkuu sanaa sanaaa, tutafanya mengi pamoja siku za mbeleni.
 
Anyways nimesoma mpaka mwisho. Hongera kwako na kwa waliokusaidia.. sasa bro umesema nyumba unayo vipi mke ushapata? Asking for a friend[emoji847]

Sent From Galaxy S20 Ultra
Kwaio hautaki tena Crown New Model unataka wakili msomi?
 
Back
Top Bottom