Mtoto anauma mzee asikwambie mtu, hapo jamaa kapiga hesabu ya elfu 10 kila siku, nadhani ni sawa kwa kuwa kipato chake pia kinaruhusu...Mkuu.....
Hivi kweli 300,000 unaona nisaawa kwa kutoa matumizi after each and every month...🤔🤔
Mtoto akifika umri wa kukaa na baba atakwenda kumchukua japo itakuwa kimbembe maana mama atajua laki 3 kwa mwezi inaondoka, mama hatajali mtoto kuondoka atajali laki 3 kuondoka, game bado la moto hapo