Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Mkuu.....
Hivi kweli 300,000 unaona nisaawa kwa kutoa matumizi after each and every month...🤔🤔
Mtoto anauma mzee asikwambie mtu, hapo jamaa kapiga hesabu ya elfu 10 kila siku, nadhani ni sawa kwa kuwa kipato chake pia kinaruhusu...

Mtoto akifika umri wa kukaa na baba atakwenda kumchukua japo itakuwa kimbembe maana mama atajua laki 3 kwa mwezi inaondoka, mama hatajali mtoto kuondoka atajali laki 3 kuondoka, game bado la moto hapo
 
kama usinge oa usinge poteza hiyo 40m pole mzee and hongera anyway

KATAA NDOA
JALI AFYA YAKO YA AKILI
SAVE KIBUNDA KALE BATA
 
Mtoto anauma mzee asikwambie mtu, hapo jamaa kapiga hesabu ya elfu 10 kila siku, nadhani ni sawa kwa kuwa kipato chake pia kinaruhusu...

Mtoto akifika umri wa kukaa na baba atakwenda kumchukua japo itakuwa kimbembe maana mama atajua laki 3 kwa mwezi inaondoka, mama hatajali mtoto kuondoka atajali laki 3 kuondoka, game bado la moto hapo
Mkuu, huyo mtoto hawezi tumia hata laki moja kwa mwezi.
Mtazamo wangu mimi ni kwamba mama amemgeuza mtoto kitega uchumi kwa jamaa.
Pia hakuna cha umri mkuu, watu tulisha chukua watoto (mapacha) wakiwa na mwaka mmoja na leo ni watu wazima wapo vyuo na kilakitu kilikaa sawa.
Binafsi sifikirii pesa hapo, zaidi naona kama jamaa ni mdhaifu kwa kisingizio cha kipato kinaruhusu.
Na hapo naona mleta mada ana vita kubwa sana huko mbeleni.
 
Dooo so mi ninayetoa laki nne kwa mwezi nalipa hadi kodi ya nyumba kabisa ha haaaaaa
 
Tamaa zake tu, sasa mwanamke pesa za nini. Umeolewa, mumeo anakujali sijui tamaa ya mali wanaitoa wali hawa watu.

Sisi ni tamaa ya ngono ndo asili yetu ila wenzetu atatamani ndoa, akiipata atatamani kuchepuka, akichepuka atatamani uhuru na ndo hapo unadedishwa.
 
Mkuu, huyo mtoto hawezi tumia hata laki moja kwa mwezi.
Mtazamo wangu mimi ni kwamba mama amemgeuza mtoto kitega uchumi kwa jamaa.
Pia hakuna cha umri mkuu, watu tulisha chukua watoto (mapacha) wakiwa na mwaka mmoja na leo ni watu wazima wapo vyuo na kilakitu kilikaa sawa.
Binafsi sifikirii pesa hapo, zaidi naona kama jamaa ni mdhaifu kwa kisingizio cha kipato kinaruhusu.
Na hapo naona mleta mada ana vita kubwa sana huko mbeleni.
Akipitia kipindk cha ukata huyo mama la mama atamnyanyasa sana
 
Blaza, yan ndo kwanza miezi sita tu ndo unasema hyo thamani unaijua MARADUFU….????

Hawa viumbe sio wa kuaminiwa kwa style hyo. Kumbuka Manara na hela zake, amezinguliwa

Omba Mungu tu asibadilike
Bro sijui ni mshamba? Samahani lakini
 
Siku zote mwanamke ni ndimi kuwili, hupaswi kumjulisha mkeo mapato yako maana akijua tu apo kuna vita ambayo itatokea na by nature wanawake ni wanaviburi tu
 
Kwa sasa nipo kwenye mahusiano na binti flani kwao iringa i think ni muhehe ama muhehe kitu kama hicho, nipo nae mwezi wa sita huu, kaishia form 4 lakini kwangu hicho si kigezo tena maana ananiheshimu, anayajua majukumu yake ya nyumba na kwangu mwanaume,
Sio mhehe huyo ni mfipa na km ni form 4 basi amini haupo peke yako, zalisha pita hivi
 
Siku zote mwanamke ni ndimi kuwili, hupaswi kumjulisha mkeo mapato yako maana akijua tu apo kuna vita ambayo itatokea na by nature wanawake ni wanaviburi tu
Ving'ang'anizi kutaka kujua mwanaume anaingiza Pesa kiasi gani kwa Mwezi na ukimwambia tu ukahisi ni mapenzi yaan kwamba ukimwambia ndio atakupenda zaidi aseee umekwisha Vita inaanzia hapo ni vurugu mtindo mmoja utasikia tuachane tugawane kilichopo
 
Yaan denu ukisha mwambia tu mi mapato angu haya, ahh teyar anaanza kufanya research outside ambaye atakuwa zaidi yako, hawana jema kabisa hawa
 
Back
Top Bottom