Jinsi jirani alivyoniweka njia panda. Ungefanyaje?


Hata mwanamke hapana
Niliwahi mpokea mke wa mtu
Mumewe alichofanya akatafuta namba ya mume wangu, akamwambia namfudisha mkewe umalaya, Yaani nimemtorosha nimebakia na mtoto nikamconect mkewe Kwa mwanaume,
Mume anarudi amevimba kama cobra anatukuta pale hata salamu, nikaambiwa tu mrejeshe mwenzio ulipomtoa[emoji848]
 
Kuna mitaa hadi wezi huwa wanawakimbiza kwa kupigiana simu. Simu inaita, ukipokea unasikia "Mzee fulani, nimemkurupua mwizi huku kwangu, anaweza kukimbilia kwako,...Good night"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda ungenipa matumizi sahihi ya huu msamiati ili nijifunze zaidi..hizo assumptions zingine hauko sahihi...njia panda ni pale ambapo nilikuwa na mgogoro wa nafsi...Kuna nafsi ilikuwa inanambia nijaribu kumsaidia (roho nzuri) na kuna nyingine ilikuwa inaniambia nisimsaidie (roho mbaya)....ilikuwa inaniwia ugumu kufanya maamuzi maana kila upande ulikuwa unanivuta...hapo ndipo nilipobaki njia panda ila mwisho wa siku nikachagua njia yangu ambayo ni 'roho mbaya'

 
Kumbe Fohadi una busara bwana. ila kuongelea upwiru wangu dah 😆 😆 😆
 
Kitu pekee ninachojua ni kwamba umefanya jambo la msingi kutokumruhusu alale kwako, Basi.
 
Kwa kitombile ingekuwa ni kama nzi kufa kwenye kidonda kama manzi ipo vizuri ningempigilia msumali alafu saa 10 alfajiri nikamtoa aende anakokwenda.
 
Mantiki yangu ilikuwa kwamba.....katika lugha ya picha kubakia njia panda maana yake ni kushughulishwa na majambo mawili au zaidi lakini unakosa majibu sahihi kwa wakati huo......

Kwa namna ulivyoanza mtiririko wa habari yako ni wazi kuwa nafsi yako ilijenga aina flani maudhui juu ya huyo jirani yako either katika hali ya mkazo au katika hali ya kawaida kulingana na matakwa ya nafsi yako kwa sababu nafsi ya mwanadamu daima haiwi tupu......sasa inawezekana hata majibu ya hili tukio la usiku yamesukumwa na taswira iliyobebwa kwenye nafsi yako juu ya huyo mwanamke au mumewe.........(huu ni mtazamo wangu tu kulingana na nilivyoielewa habari yako)........
 
Respect for all...Fear none.....pamoja mkuu
 
Rule number one, usiingilie ugomvi wa watu wanaoshare shuka moja wewe waache wadundane mpaka wauwane watasaidiwa na taasisi za serikali
 
Perfect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…