Jinsi Kenya inavyotoa vipato vinono kwa walimu na watumishi ukilinganisha na Tanzania

Kama watoto wao wanasoma Cambridge huko wao wanaumia na nn


Tz kula chako mapema mishahara ni midogo mno hasa hiz local government alafu no allowance had ujikamue ujenge ***** ushaastaafu
 
mbona hela nzuri hizo mtaani huku mtu analipwa makofi na vibao kwa kazi ya kukutwa kijiweni
 
Kenya bei ipo juu tu kwenye vyakula tu vitu vingine ni cheap sana mfano cement mfuko mmoja ni 10000.
Bei ya kuwanja Kenya haikamatiki
Watu kujenga nyumba kule unatakiwa kuwa na pesa hasa sio utani
 
Kitu usichojua Ni Kuwa watumishi wakiwa na kipato kizuri Basi watazalisha ajira za kutosha mtaani. Vitanda, vitu, nguo, ufundi na matunda na kilakitu kitauzika. Njia ya kuboresha maisha ya wasio na ajira Basi ongeza ujira serikalini. Kipato Chao kitazalisha na kuanzisha ajira kibao mtaani
 
Kitu usichojua Ni Kuwa watumishi wakiwa na kipato kizuri Basi watazalisha ajira za kutosha mtaani.
Hao watumishi ni wangapi unaweza kunipa namba ? Kuna kipindi Post zilikuwa zikitokea watu wanachagua Kazi (Jeshi, Polisi, Ualimu vijijini, Unesi n.k. walikuwa hawaendi) sasa hivi mmoja kati ya hao akiacha kazi watu elfu moja wanatokea kuomba hizo kazi....
Vitanda, vitu, nguo, ufundi na matunda na kilakitu kitauzika.
Hizo namba ni ngapi ? / Watumishi ni wangapi ? kwahio uongeze ujira wa watumishi ambao ni wachache sana ukitegemea wataajiri watu ? watu gani house boys na house girls ? Kwa ujira gani ? Na unadhani kuongeza Pesa inayochase products zilezile kutaongeza bei au kupunguza bei: Kipi bora kuongeza production au cost of production...

Watu hawana buying power (WOTE) kwahio kuanza kutenga kana kwamba watumishi ndio wana hali mbali naweza kusema at best ni ubinafsi au haujaangalia the whole equation
Njia ya kuboresha maisha ya wasio na ajira Basi ongeza ujira serikalini. Kipato Chao kitazalisha na kuanzisha ajira kibao mtaani
Issue numbers; waliopo kwenye ajira ni wachache kuliko ambao hawapo kwenye ajira (evidence ni ikitokea vacancy watu wanavyojazana) hence kuondoa shida ni kuongeza ajira zenye ujira (first step) second step ni kuhakikisha ujira huo unakidhi ili watu wapate buying power.... Hakuna shortcut (Unless unaamini kwamba all animals are equal but some are more equal than others)
 
Gharama za maisha Kenya unazijua lakini?
 
Gharama za maisha kenya iko juu mnoo mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…