Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.

Both kwa ladies and gentlemen.

Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .

Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.

Hata kama kiatu ni cha bei chee lakini handsome boy au binti mrembo atapoint kizuri.
 
Ila wanasema uzuri wa kitu uko machoni pa mtu sasa hapo inakuwaje. Unaweza kuona kibaya kumbe yy kakipenda. Au ww ukakiona kizuri kiatu chako kumbe me nakiona kibaya.
 
Weka picha ya kiatu ulichovaa,halafu tukueleze upoje usoni
 
Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.

Both kwa ladies and gentlemen.

Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .

Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.

Hata kama kiatu ni cha bei chee lakini handsome boy au binti mrembo atapoint kizuri.
Unazungumzia kiatu cha kuazima au chako..!!??
 
Uzuri au ubaya wa mtu u machoni pake. Hii ni telative term ukionacho wewe namna hii mwingine anakiona namna ile
 
Nilividaka songea kwa 10000 ni buti kali ila sijazitunza tu...nawathibitishia mimi ni handsome boy kinyama hata kama viatu vya kinyanga
JPEG_20221212_085658_1514386361732654267.jpg
 
Back
Top Bottom