Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Check hapo kazini kwenu uproveMakubwa!
Tatizo sijaelewa hapaHata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.
Hivi kumbe mwanaume anaweza akamjua mwanaume mwenzie kua ni handsome boy
hapo tayari umesema wifeSio mwanaume mwenzako tu, hata wewe mwenyewe ukiwa bad boy utajijua tu, wife wako hawezi kukuchekelea ukiwa huna pesa
Unazungumzia kiatu cha kuazima au chako..!!??Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo.
Both kwa ladies and gentlemen.
Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho .
Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya.
Hata kama kiatu ni cha bei chee lakini handsome boy au binti mrembo atapoint kizuri.
AhahahaNipo staff ya walimu nimeghaili kuendelea kuangalia viatu vya watu
Ahahaha.Nilividaka songea kwa 10000 ni buti kali ila sijazitunza tu...nawathibitishia mimi ni handsome boy kinyama hata kama viatu vya kinyangaView attachment 2443660
Wanaopinga ni wale wenye sura za ancestorsTafiti hupingwa kwa tafiti..mleta mada uko sawa.
#MaendeleoHayanaChama