Jinsi kuku walivyonizuia kuhudhuria msiba wa kaka yangu

Afadhali ww, watu baba yao mzazi amefariki na kuzikwa wiki iliyopita ila watoto wengine wana mwezi mzima wakila raha germany, nk, hawajamzika mzee wao na wala hawana habari.
Ujerumani na Tanzania usifikiri ni suala la Mwanza Bukoba nauli yake.Mimi nilikuwa Marekani baba yangu alifariki nilikuja baada ya mwaka mmoja.
Kule ukipata sponsorship ya bure hawajua neno kufiwa na baba yako.Hata ndugu waliniambia wewe kaaa hadi likizo
 
Halafu hao ni kuku!
Je wangekuwa ng'ombe?
Labda ungepiga K-v kubwa 2 na mchemsho wa jogoo!
 
Daa ushakuwa Bojo bojo,sekido ni neno lilotoka Uganda na kuingilia mpakani(mutukula) kama ilivyokuwa UKIMWI.
Naona umeamua kuchangamsha genge au siyo MUKULU??
anewei,ouke,ekzakitile inifakti kisa chako kinastaajabisha,lakini niseme maamzi yako yalikuwa sahihi kwani kupoteza sh. zipatazo 400,000/- na zaidi pia ungekuwa upuuzi mwingine.Wanasema ni bora uwaache 99 wasioijua njia na upite njia yako maana unajua ndiyo iliyosahihi!

Lakini nikukumbushe kuwa wewe hukuwa na mahusiano mazuri wa wanakitaa,hivi ulikuwa unaishi kisiwani peke yako??
 
Afadhali ww, watu baba yao mzazi amefariki na kuzikwa wiki iliyopita ila watoto wengine wana mwezi mzima wakila raha germany, nk, hawajamzika mzee wao na wala hawana habari.
Afu iki kisa kina fanan na mwanafunz aliyesoma Ukraine akaenda Germany baba yao kafa ajarud kumzika mzee wake
 
Ni vizuri uishi na majirani vizuri, mbona fasta tuu unampa funguo anawafungulia na kufunga
 
Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya

Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town

baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi kwenye chumba kimojawapo cha nyumba niliyokuwa nimepewa kuishi bure

Ikatokea siku nikapigiwa simu nyumbani kuwa kuna msiba wa kaka yangu hivyo nijitahidi nifike mapema kwaajili ya maziko

Baada ya kupokea hizi taarifa niliwasiliana na boss wangu akanipatia ruhusa ili niwahi msibani.Fasta nikaandaa nguo kwenye kibegi,nikaoga na kufanya mawasiliano na sekido aje kunichukua

Sekido hakukawia ndani ya ½ saa alikuwa tayari ameshafika,nikaanza kufunga funga vyumba ili nisepe mida hiyo ni saa 11 jioni lakini ghafla nikawakumbuka kuku wangu

Du nitamuachia nani hawa kuku,je niwafungie chumbani niwawekee msosi & maji vya kutosha halafu nisepe au nifanyeje ?

Pumba zenyewe zilikuwepo kidogo sana,maji nayo yamo kidogo, mfukoni pesa haitoshi,kuku wenyewe bado wengine hawajarejea. dah mambo gani haya sasa yaani mimi Kisiwaga ndio wa kuumizwa kichwa na kuku

Namuachia nani sasa hawa kuku au niwauze,namuuzia nani sasa saa 12 hii

Yule boda wangu nae tayari keshaanza kulalamika kuwa namchelewesha,sasa niwafanyeje hawa kuku.dah saa 1 jioni ikanikuta bado sijuhi nawaachaje hawa kuku wangu vipenzi.

Nikapata wazo kwanini nisihairishe kwenda huko msibani ili nibaki nikiwalea kuku wangu vipenzi(wazo zuri) nikamlipa sekido pesa ya usumbufu nikarudi ndani kupumzika

Kaka yangu kipenzi akawa amezikwa bila mimi kuwepo msibani, iliniuma sana ila sikuwa na cha kufanya

[emoji23][emoji23]
Imenibidi nicheke.
 
Kuku wako vipenzi[emoji23]
 
Back
Top Bottom