Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966


Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokupigia.

Taarifa yako itashughulikiwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na TCRA pamoja na Mtoa Huduma husika.

SOURCE: TCRA​
 
Mimi nataka nijilinde na jumbe kutoka NMB,JIANDIKISHE,VODACOM OFA,SONGESHA,MPESA (siyo M-PESA) hii ni namna yao ya kukupa matangazo,kuna SITAPELIKI yaani kama hawa ndiyo kisirani ndani ya dakika 17 napokea jumbe zao siyo chini ya nne kila siku.
 
Back
Top Bottom