Hii nchi ya hovyo na ina watu wa hovyo sana,na viongozi wa ccm nao wameshajua sisi ni wa hovyo kwa hiyo wanacheza na akili zetu!!! Magufuli alimponda kikwete kuhusu utawala wake ili aonekane ndiye rais bora,watu wa hovyo wakashangilia sasa ni zamu ya mama naye anapita mule mule ili kuteka akili za watu wa hovyo.mpaka tuje tushtuke kuwa ccm yote ni majizi tutakuwa tumechelewa sana.KATIBA MPYA YA WANANCHI