kweli, huyu jamaa ana mental disorderToka Jf ianze sijawahi ona MTU mjinga kama ww, unazan huyo mkulima angeuza huo Michele SKU ngapi, gharama za chakula, malazi,nk plus muda, huoni kama Huyo Dalali alimsaidia sana kuuza mzigo fasta,
Tatizo ni mgeni Wa biashara au anatoka vijijini Ambako hajui kazi ya Dalali ni nini
Kuna baadhi ya shughuri / huduma bila dalari ni vigumu kufanikisha kwa wakati.Tatizo ni mgeni Wa biashara au anatoka vijijini Ambako hajui kazi ya Dalali ni nini
Tatizo lako hujui faida yakeJamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja.
Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla.
Dalali akalipa cash 1700x180x100 = 30.6m. Jamaa akachukua mkwanja akasepa.
Dalali akaunadi ule mchele kwa 1800 akapiga 1800x180x100 = 32.4m.
Hapa alinufaika kwa 1.8m.
Ushauri wangu. Kwa wanopeleka mizigo sokoni tuwe wavumilivu. Ukienda na pupa za kuwahi kuondoka utajikuta unauza bei ya hasara afu dalali anapiga ela ndefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mgeni Wa biashara au anatoka vijijini Ambako hajui kazi ya Dalali ni nini
Acha watiririke. Ndio maana ya kuwa na jf. Debates are crucial. Point kubwa sikuitaja ni kwamba jamaa alilalamika kuwa mchele alopeleka ulimkata kwaiyo harudi tena.