Jinsi madalali wanavyonufaika masokoni

Jinsi madalali wanavyonufaika masokoni

miamiatz

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
505
Reaction score
941
Jamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja.

Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla.

Dalali akalipa cash 1700x180x100 = 30.6m. Jamaa akachukua mkwanja akasepa.

Dalali akaunadi ule mchele kwa 1800 akapiga 1800x180x100 = 32.4m.

Hapa alinufaika kwa 1.8m.

Ushauri wangu. Kwa wanopeleka mizigo sokoni tuwe wavumilivu. Ukienda na pupa za kuwahi kuondoka utajikuta unauza bei ya hasara afu dalali anapiga ela ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa dalali una manufaa kwa pande zote, kwanza kwa mkulima hapotezi muda kutafuta mteja na pia dalali anajua mahitaji na wateja na anaweza kuwapata kwa urahisi kuliko mkulima
 
bila uyo dalali huenda angekopwa na hao wafanyabiashara.ingekula kwake,wasumbufu sana kulipa
 
Bado cjaona point yoyote katika bandiko lako. Kwa namna biashara inavyofanyika duniani kwa sasa ni muhimu sana kuwepo mtu wa kati ili kurahisisha ubadilishanaji wa bidhaa na fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio maana halisi ya biashara...dalali kanifurahisha sana .. Kaongeza 100 tu...halafu analipa cash.
 
Tatizo ni mgeni Wa biashara au anatoka vijijini Ambako hajui kazi ya Dalali ni nini
Kuna baadhi ya shughuri / huduma bila dalari ni vigumu kufanikisha kwa wakati.

Dalari (/ madalari) ana (/wana) umuhimu mkubwa sana katika shughuli zetu za kila siku.
 
Jamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja.

Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla.

Dalali akalipa cash 1700x180x100 = 30.6m. Jamaa akachukua mkwanja akasepa.

Dalali akaunadi ule mchele kwa 1800 akapiga 1800x180x100 = 32.4m.

Hapa alinufaika kwa 1.8m.

Ushauri wangu. Kwa wanopeleka mizigo sokoni tuwe wavumilivu. Ukienda na pupa za kuwahi kuondoka utajikuta unauza bei ya hasara afu dalali anapiga ela ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako hujui faida yake
Hapo ka save time
Pia ana uhuru kwenda kuchukua mzigo mwingine chap chap na kuzungusha tenaa...
Ndio maana ya biashara hizo Ndio tunafanya wenzako ambao tupo kwenye hiyo field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe huna akili... hujawaza hata risk aliyoingia dalali hapo.. hizo milion 30 zake...

ukitaka kuishi vizuri jifunze kula na wenzako... hao wachina kariakoo wanawapa wamachinga bure wauze nje ya maduka chao.. na cha juu wanachukua machinga
 
Tatizo ni mgeni Wa biashara au anatoka vijijini Ambako hajui kazi ya Dalali ni nini

Huyo jamaa sijaelewa hoja yake ni nini! Chochote unachonunua lazima utegemee faida eitha katika matumizi ya moja kwa moja( final consumption) au kwa kuuza tena, sasa hapo dalali kosa lake nini, Kanunua kwa 30.6 mil. yeye kauza kapata 32.4mil. "Business is all about profit"
 
Kwa mujibu wa maelezo yako huyo alie nunua mchele sio dalali bali ni mfanya biashara kama mfanya biashara mungine. Dalali hatowagi pesa cash hata siku moja. Dalali anapokea mzigo wako mnakubaliana bei ndipo yeye anaaza mchakato wa kutafuta wateja kwa bei ambayo dalali ataona inafaida kwake.
 
Back
Top Bottom