Jinsi madalali wanavyonufaika masokoni

Jinsi madalali wanavyonufaika masokoni

kipindi nipo chuo miaka fulani enzi za mkwere

kuna mshkaji wangu mjuaji sana aliamua kulima matikiti maeneo fulani hivi nje kidogo ya jiji la DSM

ilifika wakati alivuna na kujaza kicantee akapeleka sokoni .. kule alikutana na madalali ila yeye kwa kuwa ni mjuaji sana akakataa kufanya kazi na madalali

akawa anashangaa magari mengine yanakuja na kupakua mzigo kabla yake na kuondoka yeye aliyekataa kufanya kazi na dalali aliishia kuuza kwa hasara maana hadi anakuja kuuza karibia wafanya biashara wote wameshanunua matikiti toka kwa madalali

lile lilikuwa funzo kuwa kila mtu ana unapomkuta sehemu basi jua ana umuhimu wake....

madalali wana umuhimu wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa bora kuuza haraka kuliko kupata faida maduka yote wangeuza stock zao fasta fasta kwa bei ya hasara ili wa save time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka huyo jamaa mmoja kukubali hiyo 30.6m kutoka kwa dalali inamaana aliona inamasilahi na inamlipa kwahiyo hapo ata sioni tatizo....

Ata huyo aliyeuziwa na dalali na yeye ataenda kuuza kwa bei yenye masiahi kwake
 
Pamoja na kuwa our core business ni trading ila hii ya madalali ambao wanajua wazi kuna mteja wa 1800 afu wao wanamlalia jamaa kwa 1700 ili hiyo 100 yote wapige wao badala ya kula 50/50 hatuwaungi mkono. Ni unyonyaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia 50/50 huku unaamindi Tsh 100 @kg...hauko serious...mpk amekubali kumuuzia kwa 1700 tayar kaona anapata faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udalali na Madalali ni kitu cha muhimu na lazima. Na mfanyabiashara aidha mnunuzi au muuzaji asiyejua umuhimu wa dalali umahiri wake ni wa mashaka.
Ila piga uwa garagaza kutokana na malalamiko ya wakulima wa baadhi ya mazao udalali unahitaji MUONGOZO/REGULATIONS kutoka katika mamlaka husika. Wakiachwa hivi ni rahisi sana kujisahau na kuwaumiza na kuwakatisha tamaa wakulima.
Ukiangalia historia ya kilimo Tanzania na hili halikwepeki kwa Mchumi yoyote yule katika vitu vilivyowakatisha tamaa watanzania kulima ni udalali/madalali

Well said mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom