Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
kipindi nipo chuo miaka fulani enzi za mkwere
kuna mshkaji wangu mjuaji sana aliamua kulima matikiti maeneo fulani hivi nje kidogo ya jiji la DSM
ilifika wakati alivuna na kujaza kicantee akapeleka sokoni .. kule alikutana na madalali ila yeye kwa kuwa ni mjuaji sana akakataa kufanya kazi na madalali
akawa anashangaa magari mengine yanakuja na kupakua mzigo kabla yake na kuondoka yeye aliyekataa kufanya kazi na dalali aliishia kuuza kwa hasara maana hadi anakuja kuuza karibia wafanya biashara wote wameshanunua matikiti toka kwa madalali
lile lilikuwa funzo kuwa kila mtu ana unapomkuta sehemu basi jua ana umuhimu wake....
madalali wana umuhimu wao
Sent using Jamii Forums mobile app