Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili tusi akilielewa mtoa mada kisutu patakuhusu mkuu..Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
Hahaha duh hii kali[emoji23]Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
Hahahahaaaa!Hili tusi akilielewa mtoa mada kisutu patakuhusu mkuu..
Bila shaka Hauna Ndevu!Ukiona mtu anaanza kufuga midevu mingi huwa kuna mapungufu yanamkabili na hiyo huwa ni njia ya kuficha udhaifu huo.Mf.mtu akipungukiwa na kujiamini utaona anafuga midevu sana,ili awakumbushe watu kuwa yeye ni kidume,ama akipungukiwa na nguvu za kiume lazima afuge midevu kwa kusudi hilo la kujaribu kumshawishi mwanamke kuwa ye ni mwanaume bora kuliko wasio na ndevu.Wanaume wengi wanaona ndevu ni ishara ya ubabe.
Umeona toka Afuge Mindevu kiwango Kimeshuka?Wachezaji wengi walianza kufuga ndevu baada ya viwango vyao kuanza kuporomoka kama vile Thienry Henry,Nicholaus Anelka,David Bekham n.k
Hivyo kuna athari fulani kimtazamo
Mtoa mada alifeli lugha kwa Ras Simba so anastruggle kuzaliwa tena upya ulaya eti [emoji1]Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
Confo tu...Ndevu Zinafunga au kugawa Pasi?