Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Jinsi madevu mabaya yanavyomkosesha Messi tuzo ya mchezaji bora

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kiukweli kwa miaka ya karibuni unapozungumzia Tuzo ya mchezaji bora wa dunia , ni kama moja kwa moja unamzungumzia Christiano Ronaldo pekee , Lionel Messi ni kama msindikizaji tu .

Ikumbukwe kwamba washindi wa tuzo hii hupigiwa kura ( niko tayari kusahihishwa ) , hivyo ukiacha umahiri wa kisoka , Muonekano wa mchezaji husika unao mchango mkubwa sana katika kushinda tuzo hii.

Tangu Lionel Messi aanze kufuga midevu isiyo na mpangilio , mithili ya mpiga gitar wa Rock N Roll ni kama ametengwa na wapenzi wa soka , hana mvuto tena hata kama anaisaidia Barcelona au Argentina .
 
Ukiona mtu anaanza kufuga midevu mingi huwa kuna mapungufu yanamkabili na hiyo huwa ni njia ya kuficha udhaifu huo.Mf.mtu akipungukiwa na kujiamini utaona anafuga midevu sana,ili awakumbushe watu kuwa yeye ni kidume,ama akipungukiwa na nguvu za kiume lazima afuge midevu kwa kusudi hilo la kujaribu kumshawishi mwanamke kuwa ye ni mwanaume bora kuliko wasio na ndevu.Wanaume wengi wanaona ndevu ni ishara ya ubabe.
 
Bila shaka Hauna Ndevu!
 
Mtoa Mada you have two parts of Brain....Left and Right....in the Left there is Nothing right and on the right there is nothing left!
Mtoa mada alifeli lugha kwa Ras Simba so anastruggle kuzaliwa tena upya ulaya eti [emoji1]
 
Ronaldo ni bishoo by nature. Messi ANAPIGA KAZI. Nyie ongeeni kila siku, yeye anaonesha kiwango uwanjani.

Angalia style ya ufungaji wao. Messi anakusanya kijiji, na anafunga zile impossibles. Ronaldo anafunga kwa kuvizia sana.
 
Back
Top Bottom