Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kiukweli kwa miaka ya karibuni unapozungumzia Tuzo ya mchezaji bora wa dunia , ni kama moja kwa moja unamzungumzia Christiano Ronaldo pekee , Lionel Messi ni kama msindikizaji tu .
Ikumbukwe kwamba washindi wa tuzo hii hupigiwa kura ( niko tayari kusahihishwa ) , hivyo ukiacha umahiri wa kisoka , Muonekano wa mchezaji husika unao mchango mkubwa sana katika kushinda tuzo hii.
Tangu Lionel Messi aanze kufuga midevu isiyo na mpangilio , mithili ya mpiga gitar wa Rock N Roll ni kama ametengwa na wapenzi wa soka , hana mvuto tena hata kama anaisaidia Barcelona au Argentina .