Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

UTU ni chanzo Cha maendeleo katika jamii

  • maendeleo katika jamii huletwa na utu

  • Utu ni sifa muhimu Kwa maendeleo


Results are only viewable after voting.
Ungeanza kuishauri serikali ihakikishe maji yanapatikana kiurahisi kwa kila mtanzania.
Umesema bidada hakuweza kuafford gharama ya maji...ulitaka afanyeje? nilidhani utakuja na mbinu sahihi ambazo angeweza kutumia ili kupata maji bila kutumia mwili wake..
 
Kwa
Km kweli ulimhurumia si ungemsaidia??.
Sikuweza kumsaidia Kwa kuwa sikumudu maisha Kwa wakati huo
 
NAJIULIZA HIVI NI MAJI TU YALIYO MVUA CHURA.?? AU MWENYEWE TU ALIMZIMIKIA MWAMBA ???

EMBU KAMUULIZE TENA KIPI HASA KILICHO SABABISHA AKAVULIWA??
 
NAJIULIZA HIVI NI MAJI TU YALIYO MVUA CHURA.?? AU MWENYEWE TU ALIMZIMIKIA MWAMBA ???

EMBU KAMUULIZE TENA KIPI HASA KILICHO SABABISHA AKAVULIWA??
Maisha ndio yanayomfanya maskini kulala njaa sio Kwa kupenda kwake. Ukikutana na hali hiyo ndio utaielewa nahau isemayo lisilobudi hutendwa
 
Ungeanza kuishauri serikali ihakikishe maji yanapatikana kiurahisi kwa kila mtanzania.
Umesema bidada hakuweza kuafford gharama ya maji...ulitaka afanyeje? nilidhani utakuja na mbinu sahihi ambazo angeweza kutumia ili kupata maji bila kutumia
 
Kizuri Cha kufahamu ni hali ilivyo na wakati

Kuishauri SERIKALI ni jambo zuri, lakini tatizo lisingepata ufumbuzi Kwa wakati. Kitu pekee Cha kujifunza hapo ni kujua tu akikujia mtu na shida yake msaidie. Kutoa ni moyo si utajiri. Usimuwekee masharti kama hayo yatakayohatarisha utu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…