Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

Jinsi Majizzo atakavyomtumia B Dozen

sangujoseph

Senior Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
164
Reaction score
183
.
By Sangu Joseph
.
Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani ya EFM na TV- E.

Kabla sijaenda ukiangalia kwa sasa EFM wako Transition period, kuna kundi fulani la mashabiki ambao kwa sasa wamelilenga baada ya lile kundi la Mtaa kuliteka, kiufupi wanalikuza Soko lao.

Kama huamini kasikilize interview ya Kwanza Boss Majizzo alipohojiwa na Bro SkyTanzania alipohojiwa kuhusu kumsajili Jonijo alisema EFM ni ya Waswahili na Waswahili kuna mahali wameifikisha Radio yetu sasa tunataka pale wakipotufikisha twende mbele zaidi.

So kutokea hapo Mimi binafsi nilijua Mswahili Majizzo yuko kwenye Transition period ya kulisaka soko jipya, ndiyo maana unaona mtu kama BDozen anasajiliwa akakidhi viwango vipya ambavyo Waswahili hawa wanataka kuvifikia, kwa mawazo nadhani sio Dozen tu kuna wengine wako njiani wanaokuja kikubwa ni nyakati na subira na kama walichokipanga kitatimia.

Mfano mwingine wa kujua wako kwenye kulisaka soko jipya (Transition Period) ni kuanzishwa kwa kipindi kama #HomaTVE hichi kipindi ukikitazama kiundani kwa muonekano, uwekezaji, aina ya Mtangazaji ni kimelenga watu fulani, wale waswahili wenzake atakutana nao kwenye #MzikiMnene, #ShikaNdinga, #NjeNdani.
.
Turudi kwenye hoja sasa Kwa kua tumekubali EFM na TV - E wako kwenye mabadiliko (Transition Period), sasa huenda yakaenda na mabadiliko ya Program (Ninavyowaza Mimi BDozen huenda akawa Mkuu wa Entertainment pia akapewa kipindi cha masaa 2 au matatu, na akapewa kipindi TV - E)
.
Utaniuliza yaani Sangu iweje BDozen apewe kipindi Efm kwenye muda upi? , maana kote kote kuna watu, Mimi nadhani ataongezwa kwenye #Ladha3600 ya Broh Seleh Jabir na kile kipindi kitaongezwa masaa walau mawili halafu wale wanetu wa #Genge SamioLove na Fido wenyewe watasogezwa mbele ili Mkubwa Twangalla #DozenAmetua atoe tiba ya burudani, lakini pia nadhani Twangalla huenda akapewa kipindi chake pale TV - E kama anavyofanyaga kwenye Dozen Selection.
.
(NB Haya ni mawazo yangu juu watakavyomtumia Twangalla, si uhalisia so Inaweza ikatokea au isitokee)

Andiko hii itakua kwenye YouTube ya Brain Ujazo kesho Jumatatu, Swipe kuona makala ya Mwanzo.

Nicheki Instagram : FB : Twit : SanguJoseph
.
.
#KijanaMzalendo #IloveTZ
 
Sasa kama dozen hana muonekano wa TV,inaoneakana uko kwenye tv kutakuwa na ma HB wengi sana?
Hapana ila hata kwenye kozi za uandishi wa habari wanafundishwa kuhusu hizo looks muulize Pascal Mayalla.
.
mtu kama Adam Mchomvu, Mamy baby, Kennedy, George bantu, PJ, Barbara hassan, Queen Fifi (Frida amani), Diva, Husna Abdul, Gea Habib, Millard Ayo, Meena Ally, Alex lwambano, Issa Maeda wana sura mbovu ama mionekano mibovu.
.
Mchukue Aloyce Sazia muweke na Dozen uone looks ya Tv huwa ikoje.
au mchukue Tony360 muweke na Mchomvu uone looks ya Tv, au Shadee na Lilian Mwasha uone kama hujacheka uanguke
 
Kinachomuangusha jamaa n lugha
Tu ile iliyokuja na mel
 
Hapana ila hata kwenye kozi za uandishi wa habari wanafundishwa kuhusu hizo looks muulize Pascal Mayalla.
.
mtu kama Adam Mchomvu, Mamy baby, Kennedy, George bantu, PJ, Barbara hassan, Queen Fifi (Frida amani), Diva, Husna Abdul, Gea Habib, Millard Ayo, Meena Ally, Alex lwambano, Issa Maeda wana sura mbovu ama mionekano mibovu.
.
Mchukue Aloyce Sazia muweke na Dozen uone looks ya Tv huwa ikoje.
au mchukue Tony360 muweke na Mchomvu uone looks ya Tv, au Shadee na Lilian Mwasha uone kama hujacheka uanguke
Mbona orodha ni ya Watu wa kampuni moja tu? anyway, kwa hiyo hapo Sam sasali kapenya? .
 
Sura ya Tv ni ya nani ni ipi??

Wewe unatangaza tv gani?
Mtafute Aloyce Sazia Mapembe wa ITV, Shadee Weris wa Clouds, Mahija Zayumba wa clouds, Aaliya wa wasafi, Elizabeth Mramba wa TBC, Alpha Wawa wa TBC, Tony Albert wa EATV linganisha na watangazaji wako
 
Mbona orodha ni ya Watu wa kampuni moja tu? anyway, kwa hiyo hapo Sam sasali kapenya? .
Nimejaribu kutaja naowakumbuka haraka haraka, Queen Fifi ni wa EA radio.
.
Sam Sasali ana sura ya Radio ila hana sauti ya Radio do you get me?
 
Nimejaribu kutaja naowakumbuka haraka haraka, Queen Fifi ni wa EA radio.
.
Sam Sasali ana sura ya Radio ila hana sauti ya Radio do you get me?
Na kwenye tv si yupo?
 
Back
Top Bottom