Jinsi makampuni ya Kenya yanavyozidi kuliteka soko la EAC lenye idadi ya watu milioni 150

MK254 sio mtu mbaya bali anaonesha ni mzalendo kwa nchi yake ila ni ile type ya watu wenye wivu na husda haswa kwa Tz..

Anaiogopa Tanzania balaa!
Kama ana wivu na husuda hapana shaka ni mtu mbaya
 
It is a no-brainer that Rwanda presented the best earning capacity for Kenyan banks despite having fewer subsidiaries. Rwanda walitupiku kwenye rank ya 'ease of doing business' mwaka wa 2019 na 2020 pia. Rwanda is definately the place to be for Kenyan companies, tuna mengi ya kujifunza kule Kigali. Alafu kwenye sekta moja tu ya finance, faida ya benki za Kenya ukanda huu mwaka wa 2018 iliongezeka kwa $106.5 Million(35%)! Hongera kwa manyang'au, endeleeni kwa moyo huo huo.

Hivi status ya mabenki yetu kuingia DRC iko vipi, kuna kipindi Equity walikua wameanza kuingia kwa fujo pale.
 
Unatakaje soko,unejifungia ndani?
Acheni kujifariji kwa habari za kupika
 
Did you know?

i) KCB group’s asset base of US$8.6 billion is larger than the four top banks in Uganda and Tanzania combined whose asset base stands at US$7.24. The largest Tanzanian bank, CRDB, holds an estimated $2.52 billion worth of assets followed closely by NMB with an estimated $2.36 billion.

ii) Equity Bank Group’s capital base is the second largest in East Africa standing at US$6.38 billion.

iii) The merger between the NIC group and CBA group has created the largest bank in Africa by customer base with 41 million customers and the third largest bank in east africa with an asset base of US$4.9 Billion.

iv) safaricom alone has a valuation larger than all the telco companies in Tanzania and Uganda combined.
 
Kenya will rule Africa in our generation. Kimya kimya as others make noise.
 
Back
Top Bottom