sku izi wazazi wanatelekeza watoto kwa kuwapeleka boarding, mtoto unatakiwa umlee wewe apo shule aende kusoma tuMtoto na shule wapi anakaa muda mrefu? Mpaka mtoto awe anajifuna binafsi kupitia matendo ya wazazi wake ...Nje ya hapo ni matatizo tu .
Huwezi kuelewa na nyie ndio mnatusumbuaga humu na nyuzi za mke kaninyima unyumba, mara mke hivi mke vile!achana na izo movement uchwara za mtandaoni, maisha unatengeza peke yako