malaki123
Member
- May 12, 2025
- 63
- 65
Moja kati ya swali gumu ninalojiuliza mara zote huwa ni MWANANGU ANAWEZA KUISHI NA WATU WENGINE IKIWA SIPO!?
Moja ya msingi mgumu ni MALEZI hasa kwenye jamii ya sasa…! Ni kwa sababu wazazi wameacha wajibu mkubwa kwa wadada wa kazi…!
Binafsi, Napenda kuweka limit ya baadhi ya vitu.
- Screen time (TV, Tablet na hata muda wa kukaa macho!)
- Eating Manners and Habit (Tabia za wakati wa kula na chakula chenyewe mfano! Atakula kilichopo na sio kila siku ale anachotaka tu.)
- Receiving (Kupokea vitu kwa anaowajua na asiowajua)
- Interactions and Socialization (Mwingiliano na kuiishi jamii mfano…! Shughuli za kijamii, kucheza na watoto wenzie na kujifunza vya kijamii kwa uangalizi mzuri)
- Character and Personality (Tabia zake na utu wake mfano, wageni wakija anawapokeaje!? Anawapa sikio kwa kiwango gani!? Attention yake!?)
- Duties and Responsibilities (Majukumu na wajibu…! Mfano Kufua, Kupika, kuosha vyombo n.k ni lazima avifanye)
- Communication Discpline (Nidhamu ya mazungumzo dhidi ya kila mtu na kujua wapi ni sahihi kusema na wapi sio sahihi)
- Emotional intteligence (Uwezo wa kutawala hisia hasa sehemu zinazohitaji akili kwenye hisia)
- Self Management (Kujisimamia yeye binafsi mfano…! Kwangu Homework hawezi kufanyiwa na mtu…! Wazazi wengi wanafanya homework za watoto wakidhani ni upendo…! Sasa akipata 0 ni ya Mzazi au ya Mtoto!?)😁
- Sex Identification (Jinsia yake na wajibu wa kijinsia)
- IBADA…! IBADA!
Naheshimu wanaokosa muda na watoto wao ila unaweza kujiuliza tu pia hili swali…! MWANAO KWA ULIVYOMLEA ANAWEZA KUISHI NA WATU WENGINE IKIWA HAUTAKUWEPO!?