Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hapana sio typing error mkuu. Hiyo ndio bei ya bao moja kwa wale wanaojiuza kwenye night club au bar. Tena anakupeleka chumbani kwake kwa hiyo hiyo rand 50. Labda iwe imepanda kwa sasa maana nimeondoka kitambo.
Yani bao moja tu
 
Hapana sio typing error mkuu. Hiyo ndio bei ya bao moja kwa wale wanaojiuza kwenye night club au bar. Tena anakupeleka chumbani kwake kwa hiyo hiyo rand 50. Labda iwe imepanda kwa sasa maana nimeondoka kitambo.
Dah sasa kwa mitoto kama tunayoiona kwenye media, si ngoto/hiv inaikamata fasta.
Mwezi wa 12 naenda kutembea [emoji41]
 
Sasa hivi rand imeshuka sana. Kipindi kile miaka 2003 hadi 2012 rand 1 ilikuwa ina range kwenye TZS 180 hadi TZ200. Sasa hivi nadhani rand 1 ni sawa na TZS 164.

Dah bei chee kinoma yaan haifiki hata 15,000 ya kibongo [emoji41]
 
Mleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Acha wivu wa kijinga
 
Habari za asubuhi wakuu? Leo kama nilivyoahidi nitaweka mwendelezo. Nadhani kwenye mida ya jioni nikimaliza shughuli zangu nitapata muda wa kutosha na kuishusha hapa. Jamani hebu naomba mchangie hata buku ya bando basi, msihofu sitawapelela Telegram, nitaweka namba hapahapa ili yeyote atakayeguswa anachangia hela ya bando. Bando zimepanda bei jamani, halafu hii stori sio siri sikutegemea kama ingekula muda wangu hivi na kuvuta hisia za watu wengi kiasi hiki. Kuna watu wengi wamenifuata inbox wakinisihi hii stori nisiisumarize bali niielezee kwa urefu maana nikiisumarize itapoteza mvuto nilioanza nao. Nimekubali ombi lenu, tuwe pamoja hadi mwisho wakuu. Jioni itaendelea.
 
Sasa hivi rand imeshuka sana. Kipindi kile miaka 2003 hadi 2012 rand 1 ilikuwa ina range kwenye TZS 180 hadi TZ200. Sasa hivi nadhani rand 1 ni sawa na TZS 164.
Ingia program moja inaitwa convert kwenye Google itakupa uwiano wa hela zote duniani South Africa Rand To Tanzania shiling,shilingi 157 za Tanzania sawa na Rand 1
 

Tatizo wewe hii story umedandia treni kwa mbele huna hata unachoelewa
 
Baada ya kuona huu uzi unatrend sana africa mashariki na kati nikaamua kustick nao kwa ndichi na kuupitia. Ebanaeee nitaenda south. Maana kila khumbu ninaemgugo ni kisu balaa yaani wa motooo, na nimeona wadau wengi sana wanataka picha ya demu wetu khumbu. Wala msihangàike maana kati ya hao khumbu wakali wa moto waliokuja wakati una gugo nae yupo. Believe me. Hivyo ni kumchagua tu khumbu mmoja aliekupendeza na huyo ndiyo atakua khumbu wako.
Na kuna kitoto hapa cha mtaa kipo form three kinamkaribia khumbu japo kwa mbaaaali nikakitania jana "aah mtoto khumbu mambo vipii! unawapa shida tu waalimu huko shule" eti wee anko wewe umeniita jina gani hilo?.... nikajisemea kimoyomoyo hivi anamjua baby khumbu huyu? Akwende zake huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…