Unajifanya una exposure ila we mshamba 1 tu,bora ukae kimya ufiche ujinga wakoMleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Mbona nasikia hadi huko kuna njia za kutuma kwa simu?Sasa sisi wa nchi za mbali tatuchangia vipi jamani story ni moto balaa
Watu kama nyinyi enzi zile lwanda magere Alikua anawapiga shipa la kimkakati ujuaj mwingiMleta hadithi kukutana na wabongo ambao zero exposure plus ugumu wa maisha .... Wamebaki kujiliwaza. Eti kuna mtu anasema atapiga punyeto hii hadithi. Hivi ina kitu gani hasa cha ajabu
Weka namba mkuu tuchangie bando,Habari za asubuhi wakuu? Leo kama nilivyoahidi nitaweka mwendelezo. Nadhani kwenye mida ya jioni nikimaliza shughuli zangu nitapata muda wa kutosha na kuishusha hapa. Jamani hebu naomba mchangie hata buku ya bando basi, msihofu sitawapelela Telegram, nitaweka namba hapahapa ili yeyote atakayeguswa anachangia hela ya bando. Bando zimepanda bei jamani, halafu hii stori sio siri sikutegemea kama ingekula muda wangu hivi na kuvuta hisia za watu wengi kiasi hiki. Kuna watu wengi wamenifuata inbox wakinisihi hii stori nisiisumarize bali niielezee kwa urefu maana nikiisumarize itapoteza mvuto nilioanza nao. Nimekubali ombi lenu, tuwe pamoja hadi mwisho wakuu. Jioni itaendelea.
Tunatuma mkuu usiwaze mda bado.Naona wabongo mmegoma kuniungia hela ya bando, hahahaha! Wabongo mmenishinda tabia. Haya tukutane jioni jamani.
Mkuu hii ingekuwa bongo tungeenjoy sana hapo natenga buku 20 tu. 10 kwa ajili ya demu... 10 nyingine ugali nyama choma 4000 value ndogo/ kvant ndogo 3000 maji makubwa 1000 na chechi ina baki upewe nn tena ya castle lager 1. Mkuu twenzetu SA.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Daahh very interesting yaani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Habari za asubuhi wakuu? Leo kama nilivyoahidi nitaweka mwendelezo. Nadhani kwenye mida ya jioni nikimaliza shughuli zangu nitapata muda wa kutosha na kuishusha hapa. Jamani hebu naomba mchangie hata buku ya bando basi, msihofu sitawapelela Telegram, nitaweka namba hapahapa ili yeyote atakayeguswa anachangia hela ya bando. Bando zimepanda bei jamani, halafu hii stori sio siri sikutegemea kama ingekula muda wangu hivi na kuvuta hisia za watu wengi kiasi hiki. Kuna watu wengi wamenifuata inbox wakinisihi hii stori nisiisumarize bali niielezee kwa urefu maana nikiisumarize itapoteza mvuto nilioanza nao. Nimekubali ombi lenu, tuwe pamoja hadi mwisho wakuu. Jioni itaendelea.
Mimi nimekwisha tuma mkuuNaona wabongo mmegoma kuniungia hela ya bando, hahahaha! Wabongo mmenishinda tabia. Haya tukutane jioni jamani.
Tafuta msg za chini. Namba keshaweka.Weka namba mkuu tuchangie bando,
Namba keshaweka 0676405024Mimi nimekwisha tuma mkuu
Kwa bao moja tu!!! Usizidishe, labda ulipe tenaDah bei chee kinoma yaan haifiki hata 15,000 ya kibongo [emoji41]
naomba link mkuu telegram,,Telegram! Wa Kibongo Wako Tele Huko, Ushindwe Wewe
ImefikaJioni