Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kaomba tumchangie hela ya bundle..Leta maneno bana konda
Watoto wa kike kuanzia 16yrs hadi 23yrs ni noma sana!Katikati ya msiba wa bibi yake mpendwa anashika ukuta![emoji124][emoji124][emoji124]
Ha ha ha haa, sasahivi mtaanza kumdai story kwa lazima.Endelea basi bundle tumeshatuma
Hahaha hamna bwanaHa ha ha haa, sasahivi mtaanza kumdai story kwa lazima.
HahhahaAngalau leo wazee tumepumzishwa
Ndio ndioKaomba tumchangie hela ya bundle..
Naomba 0676405024
🤣🤣🤣Angalau leo wazee tumepumzishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio
Hahhaha
Iyo ilikuwa zamani sasa ivi uwezi kupata kwa bei iyo,
Sasa ivi unapata pisi kali kwa R300 per hour au R1000 mpaka R2000 kwa usiku mzima.. inategemea na mtakavyo patana
Wewe Maya wewe!Mnatunanga mpaka tunekuwa sugu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aweke atufurahishe tuendelee kumtumia za bundle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana atumalizie Story.. Mambo hayajaanza kuwa mengi humu..
Nitaendelea jamani. Majukumu ni mengi. Mbona hamchangii bando jamani? Kuna watu watatu ndio wamechangia, nawashukuru sana hao watu.
Na tutakuwa wote wanawake tuNitaendelea jamani. Majukumu ni mengi. Mbona hamchangii bando jamani? Kuna watu watatu ndio wamechangia, nawashukuru sana hao watu.
Ahsante Sana
Hamna mkuu wabongo wamenishinda tabia. Hawana ushirikiano.Siamini kama ni watatu tu[emoji15]
Mi nikajua now umekunja ka kilo hivi [emoji1436]♀️[emoji1436]♀️
Ngoja tuhamasishane