Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Tupo Pamoja Mkuu, Ngoja tuendelee na kisa mkasa
 
Mkuu konda msafi,usipo weka picha ya khumbu utakuwa hujatutendea haki kabisa natumai kwa ustaarabu ulionao utatuekea
 
Screenshot basi picha ya khumbu kwenye msambwanda tu tuone mning'inio
 
fanya urud SA konda msafi
 
Mkuu hii signecha mbn Kama Kuna mahali imenikatalia ombi langu la kazi [emoji3064][emoji45]
 

Wakusoma... Jina nakumbka mbali sana hili Nikiwa shule My brothers used to call me, Lina kadharau kwa Mbali hv.
 

Nenda Baba.
 

Kaa kule mimi ntakutukana Afu ntakula Bann
Sina hasara
 
Mkuu unahatarisha usalama wangu humu[emoji29] naomba mods waniongezee ulinzi kama hutaelezea hiko kipengele hali ya usalama wangu hapa itakuwa ndogo sana kaka.

Una jina la kike Ndo maana Una mambo ya Kisenge
 
Hahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Dah! Mkuu mimi sijaiona! 😥😥
 
Mkuu hiyo comment ni ya kitambo. Usimtukane jamaa bhana. Nadhani wewe umeanza kuisoma hii stori karibuni. Hizo comments za jamaa ni za muda sana hivyo huna haja ya kugombana naye. In fact jamaa ni mtu poa sana usimtukane.
Mkuu tupia nondo
 

S.A Raha Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…