Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Kama ulishawahi kufika SA ulishawahi kukuta demu wa kisauzi ana mguu mbovu? Demu wa kisauzi anaweza kukosa vyote lakini sio mguu.
Hii ni kweli kabisa aisee.Wamejaaliwa miguu si mchezo.Nilikuwa nikiwaza kuwa hii imetokana na kucheza zile ngoma zao za unyago.?Mina ngiyankumbula Jabu Mazibuko wa Estcourt,KZN
 
Kiongozi najua una majukumu mengi ya kujenga nchi, ila nami naomba niipate picha ya Khumbu inbox, naamini utalifanya hili mana ushafanya mengi tuu nlokuomba ufanye. Good for the game[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khumbu huyo na hiyo ndio siku ya kombe la dunia walivyotafutana

Utaacha Sasa kumsumbua konda msafi
 

Attachments

  • IMG_20210315_133321_363.JPG
    60.6 KB · Views: 56
Story imeishia pary ya 34?
 
ma...nyo...ko zako umeniuzi weweeeeee
nini kuukatisha huu utepeeee?
tulipe whatsapp ukatupige kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…