Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hivi siwezi kuanzisha uzi wa bring back our Khumbu ikiwezekaba wazelendo tukuchangie hata nauli ili ufanye kwenda kumshawishi uje nae bongo au tuongee na ubalozi? 🤣🤣🤣[emoji481][emoji481][emoji481]
 
Tunaendelea,

Guess what happened baada ya Khumbu kunikimbia?
Nikiwa nimerukwa na akili baada ya kushuhudia hicho kitendo cha kutokwa nduki na demu mara simu yangu ikaita, kucheki nani ananipigia, namkuta msela wangu wa workshop ndio anapiga. Nikawa najiuliza sijui nipokee au nisipokee, maana kwa muda ule nilitaka kutosumbuliwa na chochote.

Akili ilikuwa kama imeduwaa hivi halafu nipo kwenye maumivu makali. Simu ikazidi kuita non stop. Nikaona acha nipokee nijue jamaa anataka kusemaje. Baada ya kupokea akaanza kucheka, nikawa najiuliza huyu anacheka nini? Nikaona kama anazingua bangi tu, jamaa akaacha kucheka akaniambia "vipi wa kusoma umemfanyaje Khumbu? Nikapigwa na butwaa, mambo ya Khumbu ameyajuaje huyu. Jamaa akaendelea kusema Khumbu huyu hapa anasema amekukuta kama umechanganyikiwa hivi? ....

Simu imeisha chaji baadae.
 
Woyoooooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Story zangu hizi ... Mleta thread upewe ulinzi tafadhali ....

Halafu Kama nimeanza kujikuta nam-crush Huyo khumbu [emoji16][emoji16][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] khumbu Ni nyoko
 
Usiwaze mkuu....tuko macho tunaisubiri asubuhi tupate mwendelezo.

Lazima jamaaa akupige Risasi maana viuno vyote hivyo....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kapenda demu wa mtu mamaee na kwa tabia za wasouth walivyo watata sijui kama hakugeuzwa nyama choma huyu
 
Mkuu sasa umeanza kutudolishia, yani unaandika kiparagraph kimoko kweli?[emoji851]

Usitutese mkuu, uwe unatupia angalau page moja moja.
 
Aisee [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…