Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unjan kaka.....umenikumbusha maisha ya Durban nimekumbuka mbali sana. Workshop ni maarufu sana yaani kama Kariakoo kwa maana magari karibia yote yanaanzia hapo kwenda Umpagen, Westville, Kwamachu, Umlaz, Wastgate, Umhalanga, Pavillion nk.....

Hapo Workshop kuna mtaa maarufu kama Kariakoo unaitwa Weststreet. Mie Durban nilikuwa nawaogopa sana wanawake wake maana hawajuwi kusema hapana......

Duniani sijawahi kuona nchi ina wanawake wanene wenye makali.... Kama SA hasa Durban kwa wazulu. Tatizo lako hawawezi kuwa na mpenzi mmoja, licha ya baadhi yao ni watulivu mno.
 
Mi nipo northwest uku, ni balsa,weupeee ta, ko kama lote, sema naishia kuangalia tu nna mke na watoto sitaki,sitaki ujinga
 
hii story kila nikiisoma,namkumbuka demu mmoja mzuri singo mama,niliwah kuwa nae enzi hzo sina pesa,demu alinivumilia sana,akanifanya sex mashine,ila safari zilkuwa nying nying tena za ghafula kumbe alkuwa anaenda kutoa mzigo kwa wenye pesa
 
Daah aisee nimesoma kuanzia post ya kwanza mpaka ya mwisho,kisa kimetulia sana. Yani kwa jinsi ulivyo mpenda khumbu najiona mm kabisa niliyo mpendaga demu wangu wa olevel.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hii story ya Khumbu itanivunjia ndoa yangu wazee....nimeanza nayo ofisini ,wife kaipitia ofisini kunipick twende home nimemwambia anisaidie kudrive ili niendelee kusoma habari ya khumbu....nimeingia home, nimeoga fasta,nimekula kaa ushahidi tu kuepusha maneno na wife nimekamata simu natafuta next episode ya kumbu, wife kanuna balaa...hapendi nishike simu usiku ...kumuonyesha story ya khumbu sitaki..nimemuacha anune apasuke tutasolve kesho,leo sitaki usumbufu kwenye khumbu story...ni episode baada ya episode
 
😝😝 Mkuu angalia na ye aisije tafta kitu cha kumkeep busy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…