Chapa kazi baba.Inaendelea...
Kesho yake nikaenda chuo kama kawaida nikiwa natokea makazi mapya. Siku hiyo nilienda Saint georges kuchukua vitu vyangu na kuhama kabisa.
Niliporudi geto (makazi mapya) nikamkuta msela wangu yupo sebuleni anafunga mambo, nikaishiwa pozi. Hapo ilikuwa mida ya mchana. Huyu msela ni huyu mdogo wake na jamaa aliyebaki workshop kuendeleza goli la viatu. Jamaa akanikaribisha, tukaanza kupiga stori huku akiendelea kufunga mzigo. Jamaa akawa ananiambia hili ni chimbo kwa ajili ya kufungia tu kwa hiyo usihofu nikimaliza kufunga nasafisha naondoka zangu. Dah nikawa nawaza, huu si msala. Anyway nikasema poa haina noma acha tuishi tu.
Jamaa alikuwa anachemsha supu ya kuku wa kienyeji jikoni, hivyo wakati anafunga, kuku alikuwa anaendelea kuiva huko. Jamaa akamaliza kufunga, akasafisha, vipande vipande vya malailoni akavitia kwenye bagi, akaenda kuoga kisha akarudi na kuleta supu ya kuku na kuanza kula. Alikuwa kuku mzima mkubwa lakini tulimla wote akaisha. Haya ndio maisha ya mabaharia. Kuku wa kienyeji ni expensive lakini kwao anachemshwa analiwa kama supu.
Jamaa alikuwa anamjua Khumbu vizuri na alikuwa ananijua jinsi nilivyodata kwa Khumbu hivyo alitumia muda huo kuanza kunipa mwongozo wa kuishi hapo. Akaniambia, anajua piga ua lazima nimlete Khumbu hata kama sitakiwi kumleta, ila akanisihi nisifanye kosa kumwambia kinachoendelea hapo. Pia nihakikishe jamaa asijue (don mkubwa). Ila alisema jamaa hana kawaida ya kuingia ndani, huwa anaishia nje tu ila nisibweteke nikajisahau nikaanza kujiachia.
Basi maisha yakaendelea. Sitapenda kuingia sana kuongelea maisha ya ngada kwa sababu huu uzi sio lengo lake.
Nikiwa najaribu kuanza kuweka mazingira ya kumtafuta Khumbu, maana nilikuwa nataka kwanza niyasome mazingira ya hapo kabla ya kuanza harakati zangu na Khumbu, nikiwa nimeishi hapo kama wiki mbili hivi jamaa alinipigia simu akaniambia, nijiandae kuondoka, ananipeleka sehemu nyingine ya kukaa, inabidi nihame hapo, dah nikaona mbona tunahamishana tena kabla hata Khumbu hajaja? Siku hiyo ilikuwa jioni. Basi nikabeba vitu vyangu nikapanda gari, akanipeleka sehemu nyingine. Nako pia lilikuwa ni bonge la gheto, tena kuna swimming pool kabisa. Hili gheto alikuwa pia anakaa yule mdogo wake aliyebaki kuendeleza goli kule workshop. Kwa hiyo nikawa nimehama tena na kuanza kuishi sehemu nyingine.
Tukawa mtu mbili sasa ila baadae kuna homeboy mwingine alikuja tukawa watatu. Nyumba ilikuwa ya vyumba vitatu japo vyumba vyake havikuwa master bedroom. Hapo tena nikapewa mwongozo namna ya kuishi. Jirani yetu alikuwa ofisa wa polisi mwenye cheo kikubwa. Jamaa waliniambia hapo wamejitambulisha kama wakongo. Na mimi wakaniambia mtu yeyote akiniuliza natoka wapi inatakiwa niseme natoka Congo. Wabongo walikuwa wanasifika kwa wizi na drugs hivyo haikutakiwi tujulikane kama watanzania.
Maisha yaliendelea. Hawa jamaa nilioanza kuishi nao walikuwa watu wa tungi sana. Hivyo kila wakimaliza kufunga mambo yao walikuwa wanaenda club kuruka nyoka. Mara nyingi nilikuwa nabaki peke yangu gheto. Wakitoka club walikuwa wanakuja na mademu. Infact kila mmoja alikuwa na demu wake. Japo mara kwa mara walikuwa wanakuja na mademu wapya. Kwa mazingira hayo nikaona hata mimi kumleta Khumbu sio issue. Ila jamaa walinipa mwongozo huo huo kuwa Khumbu hatakiwi kujua hii biashara.
Kila mtu alikuwa na chumba chake ila tulikuwa tunaishi kama familia. Maisha yalikuwa kama yale ya Rossburg japa sasa yamekuwa ya kifahari tofauti na ilivyokuwa kule Rossburg.
Itaendelea
Mbona mimi nipo madly in love kwako na bado hujapenda?I love seeing men madly inlove like this. They become soo cute[emoji3059]
👏Waombeni moderators episodi zote waziweke kule mbele kama walivyofanya. Kuna watu wananiuliza mwendelezo na nikiangalia walipoishia naona kuna episods nyingi tu hawajazisoma kwa sababu mods wameishia kuweka episods ya 24 inayoongelea 2010 World Cup wakati kuna episods nadhani zinaweza kufika 35 hivi.
Hii story inaweza kushinda tuzo na kutungiwa movie moja Kali sanaInaendelea...
Kesho yake nikaenda chuo kama kawaida nikiwa natokea makazi mapya. Siku hiyo nilienda Saint georges kuchukua vitu vyangu na kuhama kabisa.
Niliporudi geto (makazi mapya) nikamkuta msela wangu yupo sebuleni anafunga mambo, nikaishiwa pozi. Hapo ilikuwa mida ya mchana. Huyu msela ni huyu mdogo wake na jamaa aliyebaki workshop kuendeleza goli la viatu. Jamaa akanikaribisha, tukaanza kupiga stori huku akiendelea kufunga mzigo. Jamaa akawa ananiambia hili ni chimbo kwa ajili ya kufungia tu kwa hiyo usihofu nikimaliza kufunga nasafisha naondoka zangu. Dah nikawa nawaza, huu si msala. Anyway nikasema poa haina noma acha tuishi tu.
Jamaa alikuwa anachemsha supu ya kuku wa kienyeji jikoni, hivyo wakati anafunga, kuku alikuwa anaendelea kuiva huko. Jamaa akamaliza kufunga, akasafisha, vipande vipande vya malailoni akavitia kwenye bagi, akaenda kuoga kisha akarudi na kuleta supu ya kuku na kuanza kula. Alikuwa kuku mzima mkubwa lakini tulimla wote akaisha. Haya ndio maisha ya mabaharia. Kuku wa kienyeji ni expensive lakini kwao anachemshwa analiwa kama supu.
Jamaa alikuwa anamjua Khumbu vizuri na alikuwa ananijua jinsi nilivyodata kwa Khumbu hivyo alitumia muda huo kuanza kunipa mwongozo wa kuishi hapo. Akaniambia, anajua piga ua lazima nimlete Khumbu hata kama sitakiwi kumleta, ila akanisihi nisifanye kosa kumwambia kinachoendelea hapo. Pia nihakikishe jamaa asijue (don mkubwa). Ila alisema jamaa hana kawaida ya kuingia ndani, huwa anaishia nje tu ila nisibweteke nikajisahau nikaanza kujiachia.
Basi maisha yakaendelea. Sitapenda kuingia sana kuongelea maisha ya ngada kwa sababu huu uzi sio lengo lake.
Nikiwa najaribu kuanza kuweka mazingira ya kumtafuta Khumbu, maana nilikuwa nataka kwanza niyasome mazingira ya hapo kabla ya kuanza harakati zangu na Khumbu, nikiwa nimeishi hapo kama wiki mbili hivi jamaa alinipigia simu akaniambia, nijiandae kuondoka, ananipeleka sehemu nyingine ya kukaa, inabidi nihame hapo, dah nikaona mbona tunahamishana tena kabla hata Khumbu hajaja? Siku hiyo ilikuwa jioni. Basi nikabeba vitu vyangu nikapanda gari, akanipeleka sehemu nyingine. Nako pia lilikuwa ni bonge la gheto, tena kuna swimming pool kabisa. Hili gheto alikuwa pia anakaa yule mdogo wake aliyebaki kuendeleza goli kule workshop. Kwa hiyo nikawa nimehama tena na kuanza kuishi sehemu nyingine.
Tukawa mtu mbili sasa ila baadae kuna homeboy mwingine alikuja tukawa watatu. Nyumba ilikuwa ya vyumba vitatu japo vyumba vyake havikuwa master bedroom. Hapo tena nikapewa mwongozo namna ya kuishi. Jirani yetu alikuwa ofisa wa polisi mwenye cheo kikubwa. Jamaa waliniambia hapo wamejitambulisha kama wakongo. Na mimi wakaniambia mtu yeyote akiniuliza natoka wapi inatakiwa niseme natoka Congo. Wabongo walikuwa wanasifika kwa wizi na drugs hivyo haikutakiwi tujulikane kama watanzania.
Maisha yaliendelea. Hawa jamaa nilioanza kuishi nao walikuwa watu wa tungi sana. Hivyo kila wakimaliza kufunga mambo yao walikuwa wanaenda club kuruka nyoka. Mara nyingi nilikuwa nabaki peke yangu gheto. Wakitoka club walikuwa wanakuja na mademu. Infact kila mmoja alikuwa na demu wake. Japo mara kwa mara walikuwa wanakuja na mademu wapya. Kwa mazingira hayo nikaona hata mimi kumleta Khumbu sio issue. Ila jamaa walinipa mwongozo huo huo kuwa Khumbu hatakiwi kujua hii biashara.
Kila mtu alikuwa na chumba chake ila tulikuwa tunaishi kama familia. Maisha yalikuwa kama yale ya Rossburg japa sasa yamekuwa ya kifahari tofauti na ilivyokuwa kule Rossburg.
Itaendelea
Shape la Khumbu sio poa..wamekimbia na vitambi vyao..NataniaWadada kwenye uzi huu wana pita kimyaaa kimyaaa yanii
Mkuu hebu iheshimu bia tafadhali, au hujui kuwa kila nafsi itaonja mauti, haijalishi we unatumia au hautumiiHiyo midude ndio itatwaa pumzi zako
Khumbu kama Khumbu Wazuru ni ndugu wa Wangoni ni balaa Sana kabila ya kingoni kwenye mapenziShape la Khumbu sio poa..wamekimbia na vitambi vyao..Natania
Kuna mwingine my friend waitwa Nimemkataa mtoto rasmi leo ni parte after parte[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hv hata siusomi nimeu unsubscribe maana napata hasira tu.
[emoji28][emoji28][emoji28] utapendanaje na dadako weweMbona mimi nipo madly in love kwako na bado hujapenda?
Heeh, wa nani tena[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwingine my friend waitwa Nimemkataa mtoto rasmi leo ni parte after parte[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TelweMkuu, upo
Wa mfukuza ndoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baba etu Mwitore kafungua njiaHeeh, wa nani tena[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
PoaTelwe
Dah bro mapema tu unamwagilizia moyo na kitu cha vladimir....... Mambo yangu hayo kubabake
🤣🤣🤣[emoji28][emoji28][emoji28] utapendanaje na dadako wewe