Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

W
Daaa nawaonea huruma sana wenye mademu vimbau mbau,stori kama hzi za khumbu wanaumia mbayaa[emoji23][emoji23]
Wenye vimbaui a.k.a sindano ya kushona akiibua stori ni namna kiungo chake kiligonga mfupa wa katkat ya mapaja akafungwa P.O.P dudu. Na alivyomwinamisha chuma mboga katako kakamchoma akaugua kichomi!
 
Dlamini[emoji3581] mkuu sio Damiani [emoji777] hapo unetumia map category gan ina view vizuri hivyo?
Nadhani auto correct ilipita na neno, Google earth 3D version
 
Hahhaahahahahahahahaha sawa mkuu nimekupata

Masela kama sisi hatugombani tunaeleweshana tu kiroho safi kesho na kesho kutwa tunakutana mbinguni tunagonga cheers kwa upendo tu mzee baba we live once so upendo lazima utawale kama amri iliyo kuu inavyosema. Pomoko sana mzee baba [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
nilichogundua wakna khumbu wanataka kufanana,ila niliempenda ni DLAMINI
 
Hiyo midude ndio itatwaa pumzi zako

Hakuna wakuishi milele unafikiri naogopa kwenye hilo? Sijui unajua ww ni kitu gani kitachukua pumzi yako? [emoji481][emoji482][emoji482][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] tusichafue uzi wa watu sawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…