Unataka ulete kyasaka nyumbani?[emoji23][emoji23]..tulete kaubaguzi kidogo,tupendane wenyewe tuwe kama Konda Msafi na bibie Khumbu kwenye siku zao za mwanzo mwazo[emoji28][emoji28][emoji28] utapendanaje na dadako wewe
Ewaaaah kwa nini sasa wanatunyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeridhika na matumbo yetu
Tukiwanunulia hata kamba za kuruka asubuhi hamtaki kazi kutafuta tu mikanda ya tumbo..[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuache na vitambi vyetu
Mazoezi ni kipaji ebu tuacheni tu [emoji1787][emoji1787]Tukiwanunulia hata kamba za kuruka asubuhi hamtaki kazi kutafuta tu mikanda ya tumbo..[emoji23][emoji23]
Ngoja tu tuwaache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwanunulia hata kamba za kuruka asubuhi hamtaki kazi kutafuta tu mikanda ya tumbo..[emoji23][emoji23]
Ngoja tu tuwaache.
Sawa.Jamani itaendelea kesho asubuhi. Sasa ni mida ya kuspend time na Khumbu, ananihitaji chumbani. Hahahahahaha.
Mhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuache na vitambi vyetu
WeeeeuweeeeeeeePigà kelele kwa khumbu na konda msafi
Kwamba we mzee unabisha7
Mhhh
Mkuu achana nae huyo hajui utamu wa [emoji481]Hakuna wakuishi milele unafikiri naogopa kwenye hilo? Sijui unajua ww ni kitu gani kitachukua pumzi yako? [emoji481][emoji482][emoji482][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] tusichafue uzi wa watu sawa ?
Asisahau na ndimu nyingi +pili pili mbichi idadi yake ilingane na idadi ya watuLeo ni mawe juu ya mawe yaani
Hapa khumbu
Kule mwandende ni fayaaa
Waiter kitimoto kilo 4 plz
nitakua mtetezi wako kwenye kitambi hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuache na vitambi vyetu
yakufikilika mkuuFupisha maelezo...
Kawaida ya uongo huwa ni ngumu kufika mwisho..
Stori ya ukweli huwa haina eposodes...
Utanishukuru baadae..
Alisikika mfuta thread akisema.
Umeanza unaa na wewe[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa. Wanaa wengii[emoji23]Aisee [emoji847][emoji847]