Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Utafanya vijana wandae bundle la kutosha wale wa CHAPUTA leo sipati picha
 
Leta vitu mkushi
 
Nashangaa mnaninyoshea kidole kanakwamba mimi ndo nlikuwa namfanya khumbu awe hayupo active sana kwa konda msafi

Seems watu humu ndani mnapenda sana uzinzi si wanawake si wanaume, sasa jamaa akielezea xxx kwenye uzi mnafaidika nini kama sio kuchukua sabuni na kufanya yenu? Kesho mnakuja na nyuzi ati nguvu za kiume zimekata,

Vijana acheni ngono haina faida yoyote ni kujilisha upepo.
 
Safi mwanangu yaani nipo bega kwa bega na wewe achana na wanaokusema tofauti ebu tupo vyombo broh...
 

Kaa kwa kutulia wewe punguza genye, umeitwa hapa? Kama unakwazika chapa lapa, wanaume hatuko hivo mzee yaani huna tofauti na matako ya khumbu.

Ndegelec.
 
Ndugu yangu konda msafi kazi nzuri

Ila elezea kwa mipaka kadri roho yako itakavyo kutuma, bila kujali kelele za wapambe, huku ukikumbuka itafika hatua watausahau uzi huu na kuendelea na yao, ila vizazi vijavyo daima vitausoma uzi wako na kumbukumbu zako zitasalia humu.

So watu watajifunza kupitia uzi wako, yawe mabaya au mema!! Hivyo burudisha kwa kuzingatia hayo ndugu yangu, , , wakitaka xxx waingie google wataona video kabisa.
 
Wewe unatafuta nini huku nenda majukwaa mengine huu uzi haukuhusu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mitume hapa tunawakataa, Unalalama harufu ya Mavi kwenye Choo cha mabaharia!!?? nenda jukwaa la dini huko kaimbe pambio, huku unatuvurugia mambo yetu
 
Nimekuelewa mkuu. Shukrani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…