LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nimestukia huu mchezo. Unaenda kwa wakala wa pesa unatoa lets say laki moja. Wakala anazuga hajaona meseji yako then anakwambia hebu nipe simu yako niangalie kama umepata meseji. Kumbe lengo lake anataka kujua unasalio kiasi gani. Atakupa hela yako utaondoka then meseji ya tapeli itaingia soon. Huyo tapeli anakuwa amepangwa na huyo mhudumu wa kibanda cha huduma ya hela. Nimekutana na situation kama hii Leo nika connect dot.
So next time kama una muda wa kupoteza ukikutana na situation kama hii wewe deal na huyo wakala utamjua aliekutumia hiyo meseji
So next time kama una muda wa kupoteza ukikutana na situation kama hii wewe deal na huyo wakala utamjua aliekutumia hiyo meseji