Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona wameadimika alipandisha bei kutoka shilling Mia mbili Hadi elf 8000, hivyo Wananchi walipambana huku na kule kutafta nyani lakini ilikuwa NI Changamoto sana kuwapata nyani, baada yakuona nyani wamekuwa adimu kiasi chakutokupatikana kabsaa alipandisha dau kutoka elf 8000 hadi shilingi elf 9000.
Baada yakupandisha Dau Hilo, alienda Kwa mwanakijiji mmoja jirani na alipokuwa anawanunulia nakumuomba yeye ana nyani wengi Sana na anahitaji kuwauza Kwa bei ya elf 7000, baada yakuambiwa hivyo mwanakijiji alimuomba Sana Yule mchina awapeleke wote na atawauza wote na watakapoisha atamuingizia pesa yake kwenye account yake ambayo ni 23£6&££456&££££67
Kweli mchina aliamua kuwachukua nyani wote nakuwapeleka Kwa mwanakijiji na walikuwa nyani wengi Sana, baada yakufika Tu Yule mwanakijiji alienda kijiji Jiran na Kule mchina alipokuwa akinunua wale nyani nakutangaza kwamba anao nyani wengi Sana anahitaji kuwauza Kwa hiyo Kwa yeyote anayehitaji afika kwako akatoa full address yake akarudi kwake.
Kesho yake watu wengi wa kijiji jirani na vijiji vingne walifika nyumbn Kwa Mwananchi Yule mwenye nyani aliopewa na mchina, na bahati nzuri alifanikiwa kuwauza nyani wote Kwa bei ya 7000 kila nyani,na alimwekea pesa zake mchina kwenye account yake na biashara ya mwanakijiji na mchina ikaishia hapo,🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya hapo kila Mwananchi alijua atakapokuja mchina watauza Kwa bei ya elf 8000 ambayo ni faida kwao, ilikuwa siku moja, siku mbili, wiki mchina haonekani hatimaye mwezi mchina haonekani na hatimaye miaka ikaenda watu wakazeeka na baadhi ya nyani kufa mchina haonekani na hatimaye Maisha yakutegemea kuuza nyani yakaisha serikali ya inchi hiyo ikaingilia Kati nakuwataka Wananchi wote wanao miliki nyani kuwaachiria mara moja maana ilikuwa Rasilimali ya Taifa.🤣🤣🤣🤣🤣
Stori inatufundisha upungufu WA kitu inaweza kufanya mwingne kuendelea ki kimaendeleo katika nyaja zote ma maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👆👆👆Sipo vizur Sana kwenye uandishi lakin Naamini ujumbe utaupata