PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Leo amepiga majengo mbalimbali kwenye mji WA Donbas na takribani watu 200 wamekufa ikiwemo watoto zaidi ya 37...... Putin ni maiti inayotembea... safi sana! Hizo ndio target za maana sio kurusharusha makombora ovyo unaua watoto wa kindergarten wasio na hatia halafu unajisifu! Pigo moja takatifu unapoteza mamia ya makomandoo wa kutosha; makombora aghali mno; na chombo chenyewe billions of money! Hiyo ndio inaitwa akili kubwa! Sasa msikilizie yule mwehu katika kulipa kisasi atakavyoyavurumisha ovyo! Ha ha ha!