... safi sana! Hizo ndio target za maana sio kurusharusha makombora ovyo unaua watoto wa kindergarten wasio na hatia halafu unajisifu! Pigo moja takatifu unapoteza mamia ya makomandoo wa kutosha; makombora aghali mno; na chombo chenyewe billions of money! Hiyo ndio inaitwa akili kubwa! Sasa msikilizie yule mwehu katika kulipa kisasi atakavyoyavurumisha ovyo! Ha ha ha!