Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Meli kabla ya kuzama ilikatika vipande viwili kwahiyo hizo ni picha za vipande viwili tofauti, ukiangalia kwa makini utagundua ni picha mbili tofautiPicha yako ya kwanza inaonesha meli imelalia ubavu wa kulia.
Lakini picha ya pili inaonesha meli imesimama wima.
Sasa sijui kuna muda inajinyoosha au Camera Man ilibidi ainyanyue ili apate clear view.
Hata kama ingekua ni picha ya kutengeneza hawawezi kufanya mistake ya waziwazi kama hiyo