Jinsi Meli ya Titanic inavyo zidi kuoza tazama picha

Jinsi Meli ya Titanic inavyo zidi kuoza tazama picha

kuna muda walitaka kuacha ili kila mtu akapambane jamaa yao akawaaga "gentlemen, It has been a privilege playing with you tonight" ile wanasepa. mwamba akaanzisha melody ya "near, my God to thee" Daaaah hiyo ndo ilikuwa ala ya mwisho kupigwa baada ya hapo ikawa total disaster. By the way ile movie sahv ni 27 years but itabaki kuwa best drama
Sema jamaa nilichowakubali ni ile kucheza music until the very end, halafu hio nyimbo ni ya msiba near my god to thee japo sijafuatilia kama ni kweli walicheza hio nyimbo.

Sure best movie, nasikia part 2 inakuja , atakuwepo Leonardo DiCaprio kama kawaida, sijajua kama Kate Winslet(Rose) atakuwepo.
 

Meli ya RMS Titanic inaendelea kuoza polepole chini ya bahari tangu ilipozama mnamo 1912. Kwa sasa, Titanic ipo umbali wa mita 3,800 chini ya uso wa Atlantiki ya Kaskazini. Korosi, viumbe vya baharini, na mazingira ya kina kirefu yamechangia kuharibika kwake taratibu.

Mabaki ya meli hiyo yamekuwa yakichunguzwa na watafiti kwa zaidi ya miaka 100. Kuoza huko kunasababishwa na bakteria wa baharini wanaoitwa Halomonas titanicae, ambao hushambulia chuma cha meli, wakitoa kutu. Uchunguzi wa hivi karibuni umeonyesha kuwa sehemu nyingi za chuma zimeanza kudondoka na maeneo mengine kuanza kupotea kabisa, kama mnara wa kuchungulia (crow's nest) na vipande vya sitaha.

Watafiti wamepiga picha za kina za mabaki ya Titanic, zikionyesha jinsi ilivyoathiriwa na mazingira ya chini ya bahari. Picha hizo zinaonyesha sehemu kubwa ya meli ikiwa imejaa kutu, viumbe vidogo vya baharini, na mashimo kwenye chuma kutokana na kuoza. Ingawa baadhi ya sehemu, kama sehemu za ndani ya meli, ziko katika hali nzuri zaidi kwa sababu zimefichwa na maji, zinatarajiwa pia kuharibika polepole.

Soma Pia: Meli ya Titanic: Mwonekano wa Video ya kwanza ya 3D tangu kuzama kwake

Kwa kasi ya kuoza inavyoendelea, inakadiriwa kwamba mabaki ya Titanic yanaweza kupotea kabisa ndani ya miaka 20-40 ijayo, kulingana na mazingira ya sasa ya bahari.

Ikiwa unahitaji picha zinazohusiana na hali ya sasa ya mabaki ya Titanic, naweza kutengeneza taswira inayochanganya maelezo haya na hali ya kuoza kwa meli hiyo.
Yes. Hata hivyo, imedumu muda mrefu sana kabla ya kuanza kuoza.
 
Iko wazi picha ni ya kutengeneza hakuna taa itakayofikia melo kule chini na kuja kumulika hivyo kisha camera ikapiga iyo
Kupiga picha za meli ya Titanic, vifaa mbalimbali vya kisasa vilitumika, hasa kwa kuchunguza mabaki yaliyoko chini ya bahari. Baadhi ya vifaa hivyo ni:

1. ROVs (Remotely Operated Vehicles) - Hivi ni roboti zinazodhibitiwa kwa njia ya mbali ambazo huteremshwa baharini ili kupiga picha na kuchunguza mabaki. Mfano maarufu ni ROV iitwayo *Jason. iliyotumika kwenye uchunguzi wa Titanic.

2. SONAR (Sound Navigation and Ranging) - Teknolojia hii hutuma mawimbi ya sauti chini ya maji, na kutumia mwangwi (echo) kupima umbali na kutengeneza picha za eneo. SONAR imesaidia sana kwenye kuunda ramani ya eneo lilipozama Titanic.

3. Cameras za HD na 3D - Kamera zenye ubora wa hali ya juu, kama zile zinazoweza kupiga picha za HD na 3D, zimekuwa zikitumika kuchukua picha za kina na za wazi za mabaki ya Titanic kwa ajili ya tafiti na maonyesho.

4. AUVs (Autonomous Underwater Vehicles) - Hizi ni roboti zinazojiendesha zenyewe bila udhibiti wa moja kwa moja. Zinatumika kutengeneza ramani na kupiga picha kwenye maeneo ya kina kirefu kama ilipo Titanic.

Vifaa hivi vinasaidia kupata picha bora kwenye mazingira yenye giza na shinikizo kubwa baharini.
 
Yes. Hata hivyo, imedumu muda mrefu sana kabla ya kuanza kuoza.
Eneo kubwa ilikuwa na materials ya Brass, Shaba na Aluminium
 

Attachments

  • Screenshot_20240912_074034_Chrome.jpg
    Screenshot_20240912_074034_Chrome.jpg
    816.1 KB · Views: 9
Kinacho nishangaza ni huo mwaka, 1912 hao jamaa walikuwa na maarifa ya kujenga meli kubwa kihasi hicho. Sasa najiuliza ivi sisi wabongo tunashidwa nini leo hii 2024 kufanya vitu vikubwa zaidi.
Tunawaza ngono msanii gani katrent tiktok tunaambiana vyerehani vinne viwonder wanyonge wachukie matajiri nunua wapinzani
 
Wakati wa mchana kabisa pembezoni mwa pwani huko Ireland.

Captain Smith -"Take her to sea Mr. Murdoch and stretch her legs"

Mr Murdoch - "21 knot Sir"

Kumbe kuna balaa linakuja usiku wake.

"ICEBERG RIGHT AHEAD HARD A STARBOARD"...
 
Back
Top Bottom