Meli kabla ya kuzama ilikatika vipande viwili kwahiyo hizo ni picha za vipande viwili tofauti, ukiangalia kwa makini utagundua ni picha mbili tofautiPicha yako ya kwanza inaonesha meli imelalia ubavu wa kulia.
Lakini picha ya pili inaonesha meli imesimama wima.
Sasa sijui kuna muda inajinyoosha au Camera Man ilibidi ainyanyue ili apate clear view.
Ni kivutio kizuri kwa utalii ila itakuwa gharama sana kufika ilipo.Nadhani wamefanya kama sehemu tu ya utalii.
Vitu vya muhimu katibia vyote vimetolewa yamebaki machuma tu.
Na hapo ndio inabidi ukaonane na bwana Archimedes Principle'Kwasababu kama peke yake tu aliweza kucheza na ubavu mmoja, vipi kama wakiwa wawili?
Inaonekana wakiwa wawili kama huyo Camera Man wanaweza kuinyanyua kuirudisha nchi kavu.
Sema wenzetu Wana jua kutumia vitu au watu kikamilifu.Hilo jambo hua linanifikirisha na kuona kabisa binadamu tuna uwezo Mkubwa sana, wengi wetu hatutumii hata asilimia moja ya uwezo wa kufanya mambo tulionao.
Sio kila sehemu au kitu lazima upate, uki Iona ndotoni Ina toshaNi kivutio kizuri kwa utalii ila itakuwa gharama sana kufika ilipo.
Upo sahihi ila binafsi napenda utalii wa bahari kwa kuzamia.Sio kila sehemu au kitu lazima upate, uki Iona ndotoni Ina tosha
Bahari ya Hindi Usha wahi fika weye??Upo sahihi ila binafsi napenda utalii wa bahari kwa kuzamia.
Ndio mkuuBahari ya Hindi Usha wahi fika weye??
Watu wamerusha satellite miaka ya 1950's hadi leo sisi hatuwezi.Kinacho nishangaza ni huo mwaka, 1912 hao jamaa walikuwa na maarifa ya kujenga meli kubwa kihasi hicho. Sasa najiuliza ivi sisi wabongo tunashidwa nini leo hii 2024 kufanya vitu vikubwa zaidi.
Uli zamia Sasa ??Ndio mkuu
Hapa AI uliotumia ilikua inakuuliza ikutengenezee picha zaidi Mkuu?Ikiwa unahitaji picha zinazohusiana na hali ya sasa ya mabaki ya Titanic, naweza kutengeneza taswira inayochanganya maelezo haya na hali ya kuoza kwa meli hiyo.
Kwenye Movie alinifurahisha yule mzee aliye kataa life jackets yeye na wapambe wake.
"Mr Guggenheim, these are for you"
Mzee akasema... " No, we prepared to go down as gentlemen"
Hii kwenye tukio halisi ni kweli walipiga muziki hadi meli inazama , hii band waliitwa RMS TITANIC BAND.View attachment 3093632
kuna hawa jamaa, wenyewe meli inazama wao kama hawaelew kinachoendelea hiv
Ujafanya researchKinacho nishangaza ni huo mwaka, 1912 hao jamaa walikuwa na maarifa ya kujenga meli kubwa kihasi hicho. Sasa najiuliza ivi sisi wabongo tunashidwa nini leo hii 2024 kufanya vitu vikubwa zaidi.
Wabongo bado sana,ikilinganishwa na meli za kisasa, Titanic sasa ingechukuliwa kama meli ndogo. Meli nyingi za kisasa za kitalii na mizigo ni kubwa zaidi kwa ukubwa na uwezo. Meli za leo zimetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa na huduma za hali ya juu, ambazo huwafanya kuwa bora zaidi na za kifahari kuliko Titanic ilivyokuwa.Kwa mfano, meli kama Wonder of the Seas au hata meli kubwa za kubeba mizigo zinazotumika katika biashara ya kimataifa ni kubwa sana kuliko Titanic kwa kila kipimo. Hivyo basi, kwa viwango vya leo, Titanic si ya ajabu tena kwa ukubwa.Kinacho nishangaza ni huo mwaka, 1912 hao jamaa walikuwa na maarifa ya kujenga meli kubwa kihasi hicho. Sasa najiuliza ivi sisi wabongo tunashidwa nini leo hii 2024 kufanya vitu vikubwa zaidi.
Kwenye moments kama hizi bora nidanganywe na CNN kuliko Mwanasayansi wa Buza. No offense.Photoshop. Ile meli likatika katikati na sehemu kubwa ya mbao zake ziliondoka na watu. Hiyo nzima kabisa. Halafu mbona mara imelala mara imesimama, au ndo ichunguzi unaendelea?
kuna muda walitaka kuacha ili kila mtu akapambane jamaa yao akawaaga "gentlemen, It has been a privilege playing with you tonight" ile wanasepa. mwamba akaanzisha melody ya "near, my God to thee" Daaaah hiyo ndo ilikuwa ala ya mwisho kupigwa baada ya hapo ikawa total disaster. By the way ile movie sahivi ni 27 years but itabaki kuwa best dramaHii kwenye tukio halisi ni kweli walipiga muziki hadi meli inazama , hii band waliitwa RMS TITANIC BAND.
Kuna hizi meli huwa zinazunguka majini watu wanazipanda kama vacationing zinaitwa cruise ship, aisee ni kubwa sana.Ujafanya research
Wabongo bado sana,ikilinganishwa na meli za kisasa, Titanic sasa ingechukuliwa kama meli ndogo. Meli nyingi za kisasa za kitalii na mizigo ni kubwa zaidi kwa ukubwa na uwezo. Meli za leo zimetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa na huduma za hali ya juu, ambazo huwafanya kuwa bora zaidi na za kifahari kuliko Titanic ilivyokuwa.Kwa mfano, meli kama Wonder of the Seas au hata meli kubwa za kubeba mizigo zinazotumika katika biashara ya kimataifa ni kubwa sana kuliko Titanic kwa kila kipimo. Hivyo basi, kwa viwango vya leo, Titanic si ya ajabu tena kwa ukubwa.