Jinsi Meli ya Titanic inavyo zidi kuoza tazama picha

Sema jamaa nilichowakubali ni ile kucheza music until the very end, halafu hio nyimbo ni ya msiba near my god to thee japo sijafuatilia kama ni kweli walicheza hio nyimbo.

Sure best movie, nasikia part 2 inakuja , atakuwepo Leonardo DiCaprio kama kawaida, sijajua kama Kate Winslet(Rose) atakuwepo.
 
Yes. Hata hivyo, imedumu muda mrefu sana kabla ya kuanza kuoza.
 
Iko wazi picha ni ya kutengeneza hakuna taa itakayofikia melo kule chini na kuja kumulika hivyo kisha camera ikapiga iyo
Kupiga picha za meli ya Titanic, vifaa mbalimbali vya kisasa vilitumika, hasa kwa kuchunguza mabaki yaliyoko chini ya bahari. Baadhi ya vifaa hivyo ni:

1. ROVs (Remotely Operated Vehicles) - Hivi ni roboti zinazodhibitiwa kwa njia ya mbali ambazo huteremshwa baharini ili kupiga picha na kuchunguza mabaki. Mfano maarufu ni ROV iitwayo *Jason. iliyotumika kwenye uchunguzi wa Titanic.

2. SONAR (Sound Navigation and Ranging) - Teknolojia hii hutuma mawimbi ya sauti chini ya maji, na kutumia mwangwi (echo) kupima umbali na kutengeneza picha za eneo. SONAR imesaidia sana kwenye kuunda ramani ya eneo lilipozama Titanic.

3. Cameras za HD na 3D - Kamera zenye ubora wa hali ya juu, kama zile zinazoweza kupiga picha za HD na 3D, zimekuwa zikitumika kuchukua picha za kina na za wazi za mabaki ya Titanic kwa ajili ya tafiti na maonyesho.

4. AUVs (Autonomous Underwater Vehicles) - Hizi ni roboti zinazojiendesha zenyewe bila udhibiti wa moja kwa moja. Zinatumika kutengeneza ramani na kupiga picha kwenye maeneo ya kina kirefu kama ilipo Titanic.

Vifaa hivi vinasaidia kupata picha bora kwenye mazingira yenye giza na shinikizo kubwa baharini.
 
Kinacho nishangaza ni huo mwaka, 1912 hao jamaa walikuwa na maarifa ya kujenga meli kubwa kihasi hicho. Sasa najiuliza ivi sisi wabongo tunashidwa nini leo hii 2024 kufanya vitu vikubwa zaidi.
Tunawaza ngono msanii gani katrent tiktok tunaambiana vyerehani vinne viwonder wanyonge wachukie matajiri nunua wapinzani
 
Wakati wa mchana kabisa pembezoni mwa pwani huko Ireland.

Captain Smith -"Take her to sea Mr. Murdoch and stretch her legs"

Mr Murdoch - "21 knot Sir"

Kumbe kuna balaa linakuja usiku wake.

"ICEBERG RIGHT AHEAD HARD A STARBOARD"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…