Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kwa kweli ila kama tyson ataweza hata mimi ntaweza tu mkuuu 😁😁😁😁😁
Usiwe inspayad bila disiplini.
Jamaa walijua kazi I nataka nini ndio sababu akiishi kulingana na kazi na sio kuinjoi mana alijua muda UTAFIKA atainjoi.
Haya Mwanetu kazi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…