Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Niliwai soma historia ya Mike Tyson tangu utotoni mpk kuja kua bondia hatari hapa ulimwengu.....

Enzi ya deki za tv na cassette mzee wangu Ile miaka ya 90's alikua na Kila video cassette nyumbani kwetu....tyson mara ya kwanza kupigwa ilikua 1990 na somebody deogras mniga aliuangusha mbuyu..........

Tyson alipiga tizi na muda mrefu na anaweza kumaliza mapambano yote nje ya uwanja....

Roho iliniuma kwenye pambabo la linox lewis vs Tyson kupigwa duu.,.....

Kuna pambano Tyson alivuta bangi na kumpasua pasua kaburu ulingoni....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Bangi haijawahi muacha mtu salama πŸ˜…
 
Yaan aligeuka chui ulingoni dakika za mwanzoni alimpiga mikono mizito mpak akapasuka pasuka ulingoni.............
Baada ya pambano vipimo vikaonyesha Tyson alikua ametumia mneli.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Daaah

Navuta taswira hapa nasikia kucheka sana noma kweli mkuu
 
Tendo la ndoa ni moja ya nguvu β€˜energy’ kubwa sana na ukiweza ku peleka hizo nguvu kwenye ustawi wa kimwili na kiroho zinaleta matokeo bora uliyokusudia

Wanasema haipo sana ki sayansi lkn mtu anaweza fanya yeye kama yeye na kuona matokeo yake kama utakaa muda mrefu bila kujamiina na hasa kuanzia wiki 2 na kuendelea na hapa haitakiwi kutoa manii kwa namna yoyote sio kwa kujichua ama kwa kujamiina na kama una mwenza/mke unaweza fanya β€˜dry orgasm’ kwamba una jamiiana lkn hautoi manii/shahawa na inaaminika kwa njia hii utaboresha utambuzi wako wa ufahamu, nguvu za mwili na hata za kiume, utajiamini zaidi na kuweka mkazo kwa mambo mengine ya muhimu zaidi kwa muda huo na kuboresha uhusiano wako na mwenzi wako ( ukiweza kujifunza kujizuia ku mwaga mapema kwa mazoezi ya kegel) na mwishoe unaweza fungua jicho la tatu )
 
Haahaa,
Mm Sina Hobe na wanawake zaidi ya wanguπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜Š

Humu Jf Kuna mtu aliwai kuni ita Mimi mdhaifu Sina nguvu....kisa nimeamua kutulizana....😊😊😊
Watu waliotulia ni hatari sana kwenye kutafunana aseee wengi ni silent killer

Bora mcharuko 😊😊😊
 
Umenena vyema sana mkuuu
 
Watu waliotulia ni hatari sana kwenye kutafunana aseee wengi ni silent killer

Bora mcharuko 😊😊😊
Huwezi amini siwez..hit & run for sure at this moment na comment nipo kwenye pick...
Ni handsome Kwa kuambiwa tangu udogoni na now Nina ela ya mboga........
Naogopaa sana umalaya na mambo yote ya ajab ajab...
Nilisha tongozwa nikapotezea zaidi ya mara 100 in my life history......
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwaka 2009 Tyson keshakuwa mzee na alishastaafu, kutokujihusisha kwake na ngono mwaka huo haikuhusiana na ndondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…