Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Eeeeh aseeee una nyota ya mapenzi ww duuh mara 100 noma sana una miaka mingapi mkuu??

Mi hata kuchombezwa sijawahi na ninaambiwaga nina sura mbaya kwanzia nilivyokuwa mdogo 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁.


Ila baki njia kuu mkuu uzinzi hauna faida
 
Very true....tutafute ela wapo ambao watapinga....😊😊☺️☺️
 
Mimi nimemzidi Mike Tyson nimeweza kukaa kwa muda wa miaka 10 pasipo na kufanya mapenzi na mwanamke.
 
Ninasoma sana Qur'an haswa Ayatil Qursiyu na kuswali kwa siku mara 5 ibada ninayoifanya huwa ina niondoshea mambo ya kutamani mwanamke aka nyege.
Sawa mkuu,
Ila inasemwa mwanaume au mwanamke akiwa anakula na kushiba na protein zikawa nyingi mwilini...
Ni lazima zitakusumbua zipunguzwe hongera sanaa...Kwa kuweza kuka muda mrefu sana
 
Hilo jicho la tatu lipo sehemu gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…