Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Hapana bwana, alikuwa anafanya mapenzi na mikono yake....kwani punyeto si kufanya mapenzi pia au kuua tu watoto watarajiwa?
 
Ukweli anaujua yeye mwenyewe
 
Mwanaume akiacha kufanya mapenzi anakuwa na nguvu sana sio za mwili tu mpaka akili yake.. Nimemkumbuka samson wa Biblia.. alikuja kupoteza nguvu alipofanya mapenzi tu na mwanamke Delila..
Acha utaahira. Lete andiko kwenye hiyo hiyo biblia linalosema alipoteza nguvu kwa sababu alilala na Delila. Acha kupotosha!. Mwanaharamu!
 
Jicho la tatu?
 
Hakuna ushahidi wowote
 
Mitano tu mbona michache hvyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…