baadae sana
Member
- Mar 31, 2013
- 47
- 40
Sawa bwana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Sana kwa hudumaSawa bwana...
Nguvu za kiume za Nani?Leo ndio nimejua kwani Bujibuji na Mshana Jr Wana kaukaribu flani hivi
Nimehitimisha kwamba wote ni waganga na ndege wa aina Moja huruka pamoja!
anyway
Mkuu vipi ya nguvu za kiume Hauna?
😜😜😜
Wee kibabu please spare my ribs, hivi una nini lakini kuchekesha watu usiku wote huu was manane?Nguvu za kiume za Nani?
Mshana Jr, washa kuita hukuLeo ndio nimejua kwani Bujibuji na Mshana Jr Wana kaukaribu flani hivi
Nimehitimisha kwamba wote ni waganga na ndege wa aina Moja huruka pamoja!
anyway
Mkuu vipi ya nguvu za kiume Hauna?
😜😜😜
Huogopi?Niunganishe na ukoo wenu jamaa
Lala mremboHuogopi?
Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Amini amini nakwambia, kila asemaye kuwa uyaone, just anakuombea mabaya yakupate.
Usingizi umekata, nilikuwa na watch movie, nikalala kwenye coach saa 2 usiku ndio nashituka muda huu nililala na viatuLala mrembo
Nilivishwa kilazimaPokea mikoba mkuu.
Ana kipajiWaziri wa majalalani anajua kutoa macho yule mzee🤣🤣🤣🤣
Ana hama kiwanja, warembo na popo ngoma drooo wote wakeshajiLala mrembo
Kumbe Kuna uhusiano wa avatar na michango ya members? SikujuaHuyu jamaa sijawahi kumchukulia serious manake hio avatar yake imekaa kilevi levi sana.[emoji23]
Sorry bro usinifahamu vibaya
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]